Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Kijana wetu Diamond Platnumz a.k.a Michael jackson wa Africa kaanza vzr na mwaka 2020,event kubwa sana ya utoaji tuzo za fifa kwa bara la africa,

Kijana alipofika tu kwenye shughuli nje ya jengo hakuwa tofauti na ronaldo, watu wengi sana viongozi wa fifa na wachezaji maarufu walipanga foleni kupata lau picha ya ukumbusho na huyu msanii wetu maarufu barani.

Show ilianza kwa mchezaji mstaafu maarufu Samuel etoo akiitaja Tanzania nchi yetu wakati akimtambulisha diamond jukwaani


Kiukweli Imekuwa i habari njema kwa mashabiki na wazalenfo wa Tz ila kwa wachache umegeuka kuwa msumari wamoto uliogusa mfupa kama vile msanii H.Baba alivyoonesha wazi hisia zake za chuki.

povu ruksa ila tafakari kidogo tu, Ushajiuliza kuna wasanii wangaipi Africa na mbona hawakuitwa kutumbuiza kwenye tukio kubwa kama hili???? Ndio mujue kuwa Simba ni Baba lao

MAKTABA YA MATUKIO KATIKA PICHA MNATO NA VIDEO

Picha ya pamoja kuanzia kushoto kuja kulia ni. raisi wa Shirikisho la soka duniani, Diamond Platnumz, Katibu wa shirikisho la soka duniani, Raisi wa shirikisho la soka afrika




Watu wazito na wachezaji maarufu waliokuwa wakimuomba picha ya selfie msanii wetu Diamond platnumz, Kupata picha ilikuwa ni ngumukutokana na jopo la watu wengi kumuomba selfie kitu kilichofanya wengine wapige nae wakiwa wengi katika picha moja.

Your browser is not able to display this video.

















Alieshinda tuzo ya mchezaji bora Africa "Sadio Mane" ambaye anakipiga katika klabu ya liverpool alikuwa akiwa jukwaani akiburudika na burudani inayotolewa na mtumbuizaji kutoka Tanzania kijana wetu Diamond Platnumz


Tamasha: vIongozi wazito wa fifa, mchezaji bora na wachezaji walishindwa kuzuia hisia zao za kupenda burudani iliyotolewa ikabidi wapande stejini ili kumpa kampani kijana wetu

 
Dogo anagombaniwa kupata selfie huko misri makao makuu ya shirikisho la mpira wa miguu Africa CAF, mpaka unawaza kwa nini wale jamaa wanasema dogo amekuwa mlima so aumbiwe sanamu!
Naona kama ni jitihada kutoka kwa mameneja wake japo kama taifa tunaingia kwa kunyata kwenye kuitangaza nchi kwa kazi zake nje ya mipaka yetu.
 
Dogo ni jina kubwa nje ya mipaka yetu na akirudi Uswazi anakuwa humble na ndiyo maana ana diehard fans wengi sana uswahilini,vituko plus the shit he does it's part of him kikubwa anajua ku'entertain na game(showbiz) anakwenda nayo sawia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMEFIKA WAKATI SERIKALI ITAMBUA JITIHADA ZA HUYU JAMAA OFFICIALLY, AWE RECOGNIZED KAMA SHUJAA WA TAIFA.
KUNA WASANII WANGAP AFRIKA ILA KIJANA WETU NI MARA YA PILI ANA PERFOM PALE??TUWEKE WIVU WA KITANZANIA PEMBENI KWA HILI
 
Kwa kweli H baba hamnazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…