Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

IMEFIKA WAKATI SERIKALI ITAMBUA JITIHADA ZA HUYU JAMAA OFFICIALLY, AWE RECOGNIZED KAMA SHUJAA WA TAIFA.
KUNA WASANII WANGAP AFRIKA ILA KIJANA WETU NI MARA YA PILI ANA PERFOM PALE??TUWEKE WIVU WA KITANZANIA PEMBENI KWA HILI

Ushauri wako ni juu ya serikali ni upi sasa?

It's Scars
 
Mbona hiyo ni kawaida kwa Wabongo kwenda kwenye sherehe au shughuli kuomba kupiga vipicha na watu ili kuuza sura,.

Vishabiki Uchwara vya WCB hapo vinaojiona kama vimelitangaza taifa kwa hivi vipicha vya kawaida,. Hakina Samatta wanaojulikana Dunia nzima na walitizamwa na dunia nzima Akimgalagaza golikipa bora wa dunia na kutia nyavu mbele ya beki wa Dunia, Hawana mi Show off ya kinga Ya namna hii,

Vikik vya kijinga jinga vya kutaka kutrend kwa vipicha ambavyo hao uliowaomba kupiga nao watavifuta wakiwa wana View kwenye ndege havitokupeka popote, huna hit song kwa mda sasa Unavizia kurudia vinyimbo vya wasanii wenzio umeishiwa Idea unategemea kutrend kwa bifu la Diva na Vipicha, hahaha akina Dimpoz walipiga picha na Akina Rooney ila hawakuwa na upimbi wa Namna hii,.

Manyonyo na Yule Mganga utakuta nao wanatamba uko Insta na hivi vipicha utadhani wamechua tuzo
Acha wivu mkuu mpongeze mtu kulingana na alichofanya siyo lazima afanye kikubwa zaidi ya hao akina Samatta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hiyo ni kawaida kwa Wabongo kwenda kwenye sherehe au shughuli kuomba kupiga vipicha na watu ili kuuza sura,.

Vishabiki Uchwara vya WCB hapo vinaojiona kama vimelitangaza taifa kwa hivi vipicha vya kawaida,. Hakina Samatta wanaojulikana Dunia nzima na walitizamwa na dunia nzima Akimgalagaza golikipa bora wa dunia na kutia nyavu mbele ya beki wa Dunia, Hawana mi Show off ya kinga Ya namna hii,

Vikik vya kijinga jinga vya kutaka kutrend kwa vipicha ambavyo hao uliowaomba kupiga nao watavifuta wakiwa wana View kwenye ndege havitokupeka popote, huna hit song kwa mda sasa Unavizia kurudia vinyimbo vya wasanii wenzio umeishiwa Idea unategemea kutrend kwa bifu la Diva na Vipicha, hahaha akina Dimpoz walipiga picha na Akina Rooney ila hawakuwa na upimbi wa Namna hii,.

Manyonyo na Yule Mganga utakuta nao wanatamba uko Insta na hivi vipicha utadhani wamechua tuzo
Soma tena ulichoandika kama unakielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaboa kwa kumuiga Michael Jackson kwa uchezaji na mavazi. Halafu badala ya kuutangaza muziki wa Tz, yeye kautangaza zaidi ule wa Kikongo. Hapa Katanga,Congo wanamshukuru kwa kuuenzi muziki Congo badala ya ule wa Tanzania.
 
Jamaa napiga show za tuzo CAF kwa mara ya pili.

Dogo ni wakati wake so hata kama msipo mshangilia au kumpa sifa yake basi mawe yatampa sifa na kushangilia.
 
Diamond ni mjanja mjanja tu.. hizo selfie kanunua. Kalipa hela ili hao watu wapige nae Show off Selfie..

Alisikika Abdu kiba akiongea na Omy dimpoz
😂😂😂😂😂 Ukisikia kuna watu M.... Anawaona, na ww upo chief
 
Kijana wetu Diamond Platnumz a.k.a justin bierber wa Africa kaanza vzr na mwaka 2020,event kubwa sana ya utoaji tuzo za fifa kwa bara la africa,

Kijana alipofika tu kwenye shughuli nje ya jengo hakuwa tofauti na ronaldo, watu wengi sana viongozi wa fifa na wachezaji maarufu walipanga foleni kupata lau picha ya ukumbusho na huyu msanii wetu maarufu barani.

Show ilianza kwa mchezaji mstaafu maarufu Samuel etoo akiitaja Tanzania nchi yetu wakati akimtambulisha diamond jukwaani

Kiukweli Imekuwa i habari njema kwa mashabiki na wazalenfo wa Tz ila kwa wachache umegeuka kuwa msumari wamoto uliogusa mfupa kama vile msanii H.Baba alivyoonesha wazi hisia zake za chuki.

povu ruksa ila tafakari kidogo tu, Ushajiuliza kuna wasanii wangaipi Africa na mbona hawakuitwa kutumbuiza kwenye tukio kubwa kama hili???? Ndio mujue kuwa Simba ni Baba lao

MAKTABA YA MATUKIO KATIKA PICHA MNATO NA VIDEO

Picha ya pamoja kuanzia kushoto kuja kulia ni. raisi wa Shirikisho la soka duniani Fifa , Naibu wake , Diamond Platnumz, Raisi wa shirikisho la soka afrika

diamondplatnumz-81355854-2735355296560262-4361407155451599726-n.jpg

Watu wazito na wachezaji maarufu waliokuwa wakimuomba picha ya selfie msanii wetu Diamond platnumz, Kupata picha ilikuwa ni ngumukutokana na jopo la watu wengi kumuomba selfie kitu kilichofanya wengine wapige nae wakiwa wengi katika picha moja.

View attachment 1316466

Alieshinda tuzo ya mchezaji bora Africa "Sadio Mane" ambaye anakipiga katika klabu ya liverpool alikuwa akiwa jukwaani akiburudika na burudani inayotolewa na mtumbuizaji kutoka Tanzania kijana wetu Diamond Platnumz
caf-online-81187666-769934336821560-3643766512267134124-n.jpg

Tamasha: vIongozi wazito wa fifa, mchezaji bora na wachezaji walishindwa kuzuia hisia zao za kupenda burudani iliyotolewa ikabidi wapande stejini ili kumpa kampani kijana wetu

pongezi kwa simba
 
Diamond ni mjanja mjanja tu.. hizo selfie kanunua. Kalipa hela ili hao watu wapige nae Show off Selfie..

Alisikika Abdu kiba akiongea na Omy dimpoz
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787]

kelphin kepph
 
Back
Top Bottom