Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

Kweli ana perform bure sasa hizo hela za kununua views Youtube na watu Anazitolea wapi?

Manake asilimia 90 ya show zake anafanya nje.
Sijui tumeelewana mkuu!namaanisha hapa tz haoni tena sababu ya kuchukua hela,anazopata nje Ni nyingi mno. Hapa Ni sadaka tu kwa mashabiki.
 
Jamaa naona anaendelea kununua Wasikilizaji mpaka Nigeria 😂 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
79742793_191963968600415_8272325532642344292_n.jpg
 
Mbona hiyo ni kawaida kwa Wabongo kwenda kwenye sherehe au shughuli kuomba kupiga vipicha na watu ili kuuza sura,.

Vishabiki Uchwara vya WCB hapo vinaojiona kama vimelitangaza taifa kwa hivi vipicha vya kawaida,. Hakina Samatta wanaojulikana Dunia nzima na walitizamwa na dunia nzima Akimgalagaza golikipa bora wa dunia na kutia nyavu mbele ya beki wa Dunia, Hawana mi Show off ya kinga Ya namna hii,

Vikik vya kijinga jinga vya kutaka kutrend kwa vipicha ambavyo hao uliowaomba kupiga nao watavifuta wakiwa wana View kwenye ndege havitokupeka popote, huna hit song kwa mda sasa Unavizia kurudia vinyimbo vya wasanii wenzio umeishiwa Idea unategemea kutrend kwa bifu la Diva na Vipicha, hahaha akina Dimpoz walipiga picha na Akina Rooney ila hawakuwa na upimbi wa Namna hii,.

Manyonyo na Yule Mganga utakuta nao wanatamba uko Insta na hivi vipicha utadhani wamechua tuzo

We jamaa ukienda mombasa unapewa gari halafu jamaa watakula aisee sio kwa mwandiko huo.Nahisi una roho mbaya sana we jamaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom