Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

Kweli ana perform bure sasa hizo hela za kununua views Youtube na watu Anazitolea wapi?

Manake asilimia 90 ya show zake anafanya nje.
Sijui tumeelewana mkuu!namaanisha hapa tz haoni tena sababu ya kuchukua hela,anazopata nje Ni nyingi mno. Hapa Ni sadaka tu kwa mashabiki.
 
Jamaa naona anaendelea kununua Wasikilizaji mpaka Nigeria 😂 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 

We jamaa ukienda mombasa unapewa gari halafu jamaa watakula aisee sio kwa mwandiko huo.Nahisi una roho mbaya sana we jamaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…