Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
chumvi ya mawe, mfupa wa kitimoto vilivyo kwenye droo ya pesa vitakusaidia vipi kutokupumbazwa Malaika wa Misukosuko Mr mutuuWewe ukiihesabu utaona hiyo hela ni laki moja ila kinachofanyika ni kwamb hiyo demon iliyounganishwa kweny hizo hela ndo inakupumbaza na unaona hela imetimia,