Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 488
- 742
Znazokuchekesha wewe ni zipi mkuuMbona has haichekeshi mkuu
Hivi lipo kweli.na miaka yangu kumi jf bado silijuiWarudishe lile jukwaa la wakubwa aiseee....😶
Maana linakuaga na clip za kumwaga hadi ubongo...😋
HaifurahishiHabari
Kuna baadhi ya clip hata kama ushaiangalia zaid ya mara 10 ila kila ukiingalia tena lazima ikuchekeshe au ikukumbushe jambo fulani
Weka hapa tufurahii😁
Zangu ni hizo,sijawahi kuzifuta kabisa
Lilifutwa miaka michache iliyo pitaHivi lipo kweli.na miaka yangu kumi jf bado silijui