NI CLOUDS AU WENGINE??????

NI CLOUDS AU WENGINE??????

Watz hata kwenye ukweli huwa ni wagumu kuamini!! sijui tumelelewa hivo, sasa Clouds na Takukulu wapi na wapi!!
 
Matumizi mabaya ya pesa pale tff
Basi aendelee kusota ndani na hafai kuwa rais kwakua sijaona mabadiliko aliyoleta. Sasa mleta mada naona kama anatetea uovu kama cluods wamefichua maovu wapongezwe malinz mizengwe kibao
 
Issue sio clouds, nadhani TAKUKURU wako kikazi zaidi... waendelee na moto huo huo mpaka 2020 ili tupate wawakilishi wazuri
Nami naliunga mkono hilo. Je Malinzi kasingiziwa? Kama kweli kuna upotevu wa pesa basi ni haki TAKUKURU kumfikisha kunako korti.
 
Frank Wanjiru. Kaweke pingamizi mahakamani kuzuia uchaguzi. Mayai ameanza kampeni kabla ya wakati.
 
Issue sio clouds, nadhani TAKUKURU wako kikazi zaidi... waendelee na moto huo huo mpaka 2020 ili tupate wawakilishi wazuri
TAKUKURU YA HOSEA ILIKUWA MAGUMASH ILIYOJAA UZANDIKI NA RUSHWA SASA NDO TUNAONA MAANA HALISI YA TAKUKURU
 
Jamali malinzi sa swahiba wake wapo lockup.ni kampeni za clouds za kupambana aly mayai awe president ?Jana humu JF kuna MTU Alisema clouds wakiamua jambo huwa hawashindwi!!!!
[emoji30] "Hatushindwiiiiiiiiiiiii!!"(kwa sauti ya kishilawadu)
 
Vyovyote vile iwavyo suala ni kuwa lazima atoke.
 
Frank Wanjiru. Kaweke pingamizi mahakamani kuzuia uchaguzi. Mayai ameanza kampeni kabla ya wakati.
Huyu frank wanjiru ndio malinzi mwenyew au ni msigwa coz cjaona akichangia hizi mada ,asije kuwa naye yuko lockup…!!
 
Jamali malinzi sa swahiba wake wapo lockup.ni kampeni za clouds za kupambana aly mayai awe president ?Jana humu JF kuna MTU Alisema clouds wakiamua jambo huwa hawashindwi!!!!
Rugemalila na singasinga wapo ndani kwa influence ya clouds fm?
 
Ingekuwa nchi za wenzetu wanaopenda mpira kuliko pesa malinzi asingerudi karume lakini Tanzania only usishangae malinzi akarudi
 
Huyu malinzi ni.mwizi tu wacha atoke hapo TFF maana sielewi amachofanya zaidi ya kujazs wahaya na kuongeza rushwa hapo tff
 
Back
Top Bottom