Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu wakamatwe na TAKUKURU musingizie Clouds?
Basi aendelee kusota ndani na hafai kuwa rais kwakua sijaona mabadiliko aliyoleta. Sasa mleta mada naona kama anatetea uovu kama cluods wamefichua maovu wapongezwe malinz mizengwe kibaoMatumizi mabaya ya pesa pale tff
Nami naliunga mkono hilo. Je Malinzi kasingiziwa? Kama kweli kuna upotevu wa pesa basi ni haki TAKUKURU kumfikisha kunako korti.Issue sio clouds, nadhani TAKUKURU wako kikazi zaidi... waendelee na moto huo huo mpaka 2020 ili tupate wawakilishi wazuri
Matumizi mabaya ya ofisi.Sababu ya kukamatwa ni ipi jaribu kutuelewesha
TAKUKURU YA HOSEA ILIKUWA MAGUMASH ILIYOJAA UZANDIKI NA RUSHWA SASA NDO TUNAONA MAANA HALISI YA TAKUKURUIssue sio clouds, nadhani TAKUKURU wako kikazi zaidi... waendelee na moto huo huo mpaka 2020 ili tupate wawakilishi wazuri
Ulikua aujui ndo Malinzi mwenyeweFrank Wanjiru haonekani humu jamani, unganisheni dots Sasa!
[emoji30] "Hatushindwiiiiiiiiiiiii!!"(kwa sauti ya kishilawadu)Jamali malinzi sa swahiba wake wapo lockup.ni kampeni za clouds za kupambana aly mayai awe president ?Jana humu JF kuna MTU Alisema clouds wakiamua jambo huwa hawashindwi!!!!
Wote mazi ga nyanza!Kama kweli anajihususha na rushwa kwa nn aachwe? Hata km imeibuliwa na clouds,mtoa rushwa na mpokeaji ni wahalifu.
Kazi kwao kukaza chaga!Kweli mkuu, dude limeamshwa
Huyu frank wanjiru ndio malinzi mwenyew au ni msigwa coz cjaona akichangia hizi mada ,asije kuwa naye yuko lockup…!!Frank Wanjiru. Kaweke pingamizi mahakamani kuzuia uchaguzi. Mayai ameanza kampeni kabla ya wakati.
Rugemalila na singasinga wapo ndani kwa influence ya clouds fm?Jamali malinzi sa swahiba wake wapo lockup.ni kampeni za clouds za kupambana aly mayai awe president ?Jana humu JF kuna MTU Alisema clouds wakiamua jambo huwa hawashindwi!!!!
Rugemalila na singasinga wapo ndani kwa influence ya clouds fm?Jamali malinzi sa swahiba wake wapo lockup.ni kampeni za clouds za kupambana aly mayai awe president ?Jana humu JF kuna MTU Alisema clouds wakiamua jambo huwa hawashindwi!!!!
Itakua ndiye mwenyewe haswaa, coz hajaonekana kuchangia mada humu jukwaaniUlikua aujui ndo Malinzi mwenyewe