NI CLOUDS AU WENGINE??????

NI CLOUDS AU WENGINE??????

Hatujasingizia.logic ni kuwa huo ufisadi uliibuliwa na Clifford ndimbo enzi akiwa times FM akafukuzwa kazi.clouds kupitia kipindi cha michezo ndio wakaishikia bango kwelikweli.na kama unafuatilia clouds wao wanampigia tembele kampeni awe rais ajaye wa Tff
 
Issue sio clouds, nadhani TAKUKURU wako kikazi zaidi... waendelee na moto huo huo mpaka 2020 ili tupate wawakilishi wazuri
 
Ishu ni kuwa wataingia maeneo yote au kama kawaida kutakuwa na untouchablles
 
Hatujasingizia.logic ni kuwa huo ufisadi uliibuliwa na Clifford ndimbo enzi akiwa times FM akafukuzwa kazi.clouds kupitia kipindi cha michezo ndio wakaishikia bango kwelikweli.na kama unafuatilia clouds wao wanampigia tembele kampeni awe rais ajaye wa Tff
kweli kaka nakumbuka
 
Kama kweli anajihususha na rushwa kwa nn aachwe? Hata km imeibuliwa na clouds,mtoa rushwa na mpokeaji ni wahalifu.
 
Kikubwa malinzi na selestin mwesigwa wamefanya magumashi sana pale Tff.sanasana timu ya taifa na kukosa ligi iliyo bora na ya kisasa.aombe mungu yaishe mapema akapumzike
 
Yupo mkono salama kama hana hatia ataachiwa!
[HASHTAG]#vote4allymayai[/HASHTAG]
 
Waligeuza TFF kuwa ya Wahaya.

Acha wasomeshwe namba tu.

[HASHTAG]#allymayairaistff[/HASHTAG]
 
2a85cc4551eddf32998abbc99e561aa0.jpg
 
Back
Top Bottom