Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ahh asante kwa kuniona kwa hilo, mwanzo nilikuwa Natumia I'd ya mbaga Jr ila sasa natumia Ezekiel Mbaga
Kumbe ni wewe. Nilikuwa najua kuna Mbaga wawili wote wachekeshaji. Avatar yako naikubali sana sijui uliitoa wapi
 
Mm nilivunja mbavu na machozi, nilipoiona picha ya Masijala ya wazi Kaliua Tabora (Mpanda) Duh ofisi ina mafaili kibao na ina simu ya mezani iliwekwa na tweenty4seven
kweli inaonesha watu hawapendi kupunguza mafaili au kusaidia
nalinganisha na Ofisi ya Mabhange kule Nairobi ni tofauti sana ingawa siipati twitter lkn
 
Kuna jamaa hapa JF ila sikumbuki alikua nani,alisema yeye alikua anamkamua demu akawa demu yuko chini mwana yuko juu ila kila jamaa akikaribia kufika kileleni yule demu anamshika matako mchizi anampanua kuelekea feni inapopuliza upepo bao linapotea anaanza kazi upya,hahahah.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye uzi wa walevi.
Jamaa alikoment kuwa alikunywa sana konyagi bila kula, wakati wa kwenda home alinunua chips yai akale home, lakini alipofika nyumbani alishindwa kufungua mlango ikabidi alale chini mbele ya mlango, kidogo mbwa akaja akamnyang'anya chips yai lake, akabaki akisema shii shii mbwa akitokomea kusikojulikana na chips yai lake. Anasema ilipofika usiku pombe ilikata akahiai njaa kali sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hizi koment kiboko[emoji38][emoji38][emoji38]
Screenshot_20201219-131930.jpg
 
Kwenye uzi wa walevi.
Jamaa alikoment kuwa alikunywa sana konyagi bila kula, wakati wa kwenda home alinunua chips yai akale home, lakini alipofika nyumbani alishindwa kufungua mlango ikabidi alale chini mbele ya mlango, kidogo mbwa akaja akamnyang'anya chips yai lake, akabaki akisema shii shii mbwa akitikomea kusikojulikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naikumbuka hii comment[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Kuna jamaa alikua anajiita the list
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yule jamaa yani ilifika kipindi nascroll kabla sijasoma alichoandika nacheka kwanza
Sijui alikua ana matatizo gani
Kila mtu yeye anakandia tu

Dahh[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuwa yumo humu, anaendeleza mitusi yake kwa id nyingine

Haa haha ha...usinichekeshe yule jamaa kapinda
 
Unajua kuwa yumo humu, anaendeleza mitusi yake kwa id nyingine

Haa haha ha...usinichekeshe yule jamaa kapinda
Anatumia id gani asee
Nahisi sijawahi kutana nae kwa kwelii
Ule muandiko wake ni unique hata angebadili nngemfahamu


"Nahisi kwa ulichoandika ulipewa ubongo wa mende" 😂😂😂😂

Ntajie id yake asee
 
Anatumia id gani asee
Nahisi sijawahi kutana nae kwa kwelii
Ule muandiko wake ni unique hata angebadili nngemfahamu


"Nahisi kwa ulichoandika ulipewa ubongo wa mende" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ntajie id yake asee
Sheria za jf haziruhusu mkuu labda mpeane umbea nje ya jf
 
Back
Top Bottom