Kuna ya jamaa mmoja alikuwa anaelezea maji ya bomba ya Mtwara yalivyo machafu, anasema hadi inawabidi wayatumie kizalendo, wanasubiri tope linatuama chini ndio wanayatumia.
Nilicheka sana huo uzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni wewe. Nilikuwa najua kuna Mbaga wawili wote wachekeshaji. Avatar yako naikubali sana sijui uliitoa wapiAhh asante kwa kuniona kwa hilo, mwanzo nilikuwa Natumia I'd ya mbaga Jr ila sasa natumia Ezekiel Mbaga
Hii avatar niliipata kwenye uzi wa vituko mtandaoni bc nkaipenda nkaiwekaKumbe ni wewe. Nilikuwa najua kuna Mbaga wawili wote wachekeshaji. Avatar yako naikubali sana sijui uliitoa wapi
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna jamaa hapa JF ila sikumbuki alikua nani,alisema yeye alikua anamkamua demu akawa demu yuko chini mwana yuko juu ila kila jamaa akikaribia kufika kileleni yule demu anamshika matako mchizi anampanua kuelekea feni inapopuliza upepo bao linapotea anaanza kazi upya,hahahah.
Uzi ulikuwa unasema "hebu tuone kwenye friji lako Kuna nini.." View attachment 1401554
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uzi wa walevi.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi koment kiboko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah lol
Naikumbuka hii comment[emoji16][emoji16][emoji23]Kwenye uzi wa walevi.
Jamaa alikoment kuwa alikunywa sana konyagi bila kula, wakati wa kwenda home alinunua chips yai akale home, lakini alipofika nyumbani alishindwa kufungua mlango ikabidi alale chini mbele ya mlango, kidogo mbwa akaja akamnyang'anya chips yai lake, akabaki akisema shii shii mbwa akitikomea kusikojulikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua kuwa yumo humu, anaendeleza mitusi yake kwa id nyingineKuna jamaa alikua anajiita the list
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule jamaa yani ilifika kipindi nascroll kabla sijasoma alichoandika nacheka kwanza
Sijui alikua ana matatizo gani
Kila mtu yeye anakandia tu
Dahh[emoji23][emoji23][emoji23]
Naijua ipoUnajua kuwa yumo humu, anaendeleza mitusi yake kwa id nyingine
Haa haha ha...usinichekeshe yule jamaa kapinda
Anatumia id gani aseeUnajua kuwa yumo humu, anaendeleza mitusi yake kwa id nyingine
Haa haha ha...usinichekeshe yule jamaa kapinda
Mkuu ntadundwa banAnatumia id gani asee
Nahisi sijawahi kutana nae kwa kwelii
Ule muandiko wake ni unique hata angebadili nngemfahamu
"Nahisi kwa ulichoandika ulipewa ubongo wa mende" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntajie id yake asee
Sheria za jf haziruhusu mkuu labda mpeane umbea nje ya jfAnatumia id gani asee
Nahisi sijawahi kutana nae kwa kwelii
Ule muandiko wake ni unique hata angebadili nngemfahamu
"Nahisi kwa ulichoandika ulipewa ubongo wa mende" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntajie id yake asee
Umemuuza AiseeMkuu ntadundwa ban
Ila id yake inaanzia W
Aisee itabidi niingie ujasusini๐๐Mkuu ntadundwa ban
Ila id yake inaanzia W
Doh.....Sheria za jf haziruhusu mkuu labda mpeane umbea nje ya jf
Ingia kwenye uzi wa babaake jokate mwegelo yupo huko kajaa anaporomosha makwenzi kwa raia[emoji16][emoji16]Aisee itabidi niingie ujasusini[emoji23][emoji23]
Haina shida humu jf tutakutana tu
Si muandiko ule ule???[emoji23]