Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 653
- 1,698
Habari,
Ni aina gani ya michango ambayo unaipa like humu Jamiiforums?
1. Mchango wenye jibu sahihi.
2. Mchango wenye wazo kama lako.
3. Mchango wowote wa mtu uliyezoeana naye?
4. Michango wowote wa mtu unayempenda?
5. Mchango wa kuchekesha? Au uliofanikiwa kukuchekesha?