Ni comments za namna gani ambazo unazipa likes?

Ni comments za namna gani ambazo unazipa likes?

Comment za wote wanaowakia kwenye gia kubwa. Yaani unaweza kukuta mada au mtu kaongea kitu anae mjibu anakuja na komenti ya hisia kali utasema walikutana kabla wakategeana pilipili kichaa kwenye msosi
 
Mimi kwangu ni mchanganyiko nalike kwa wanaoandika kile ambacho kwangu nakiona cha maana pia huwa napenda kulike wale ambao huwa nawakubali na hii haijalishi nimezoweana nao ama sijazoweana nao na hapa natowa like kwa kile atakachokuwa kaandika japo isiwe kitu ambacho tafsiri yake itafanya na mie mtoa like nionekane kituko.
 
Back
Top Bottom