Ni dalili gani au zipi za awali kabisa zinazoweza kumsaidia Baba kuweza kujua kuwa Binti yake ameshaanza kufanya Ngono?

Binti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
Nadhani unazungumzia balehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ba mkwe tulia dawa iingie we mwenyewe uliruka na vibinti vya watu

Huu ni Ukweli japo ni Mchungu mno Kwangu. Na usiombe Watu wajue ulikuwa Unawanyiria Mabinti zao nao Leo Watakunyiria vile vile na wako pia.
 
Dunia inaenda kasi sana lol, baba uanze kujua km bintio kaanza ku do au lah? Mmmmmh
 
Ukiona binti yako anafuatilia tamthilia za kifilipino zile za mapenzi ujue tayari ameingia kwenye ulimwengu wa mapenzi,maana ayaonayo humo humpelekea kukamilisha fantasy zake
 
Baba ukimfanya mwanao rafiki tangu akiwa mdogo unamuonesha upendo mpaka akifikia umri wa kuvunja ungo tayari atakuwa anajitambua na hata akifanya ngono basi atafanya kwa kupenda tena kwa hiyari yake huku akijua anachokitaka na sio kwa kushawishiwa, kulazimishwa au kudhalilishwa kijinsia.
 
Hata mimba ikiwa changa wamama wakimuangalia tu. Wanasema wewe Carleen una mimba wewe. Basi ataanza kujibaraguza hapo.😀
Hahaha..!
that's My Mom yaani hata ya week chache kashaijua zamani, nilikuwa naona kwa wasaidizi wa kazi nyumbani anawadaka mapema sana!!

Mimi nashangaa mpaka Leo na utu uzima huu ni mpaka nione tumbo limekuwa kubwa ndiyo nitaanza kuhisi, kumbe watu wamejua muuda!
 
Kweli kabisa maana mtoto wakike ukishaambiwa yeye mzuri huko nje na kibahari ndio kiburi kinaanza.... Sii kashaambiwa yeye mzuri bwana.
Haha, yeah.!! halafu kuna kale ka feeling ka kujiona wewe ndiyo wewe, unajiona umeshakuwa mkubwa hutaki kupelekeshwa.!!
 
Haha, yeah.!! halafu kuna kale ka feeling ka kujiona wewe ndiyo wewe, unajiona umeshakuwa mkubwa hutaki kupelekeshwa.!!

Yaani bwana mkishagegedwa wazazi mnawaona maboya flani hivi... Ila huyo kibwana ndio kila kitu kisa tuu kakwambia wee mzuri na anakupa attetion. Kulea mtoto wa kike ni shughuli ngumu sana
 
Yaani bwana mkishagegedwa wazazi mnawaona maboya flani hivi... Ila huyo kibwana ndio kila kitu kisa tuu kakwambia wee mzuri na anakupa attetion. Kulea mtoto wa kike ni shughuli ngumu sana
absolutely sure,
Kunahitajika busara na nguvu ya ziada.!! Wazazi wanapaswa wawe wakweli kwa watoto, maana majibu ya maswali ya watoto wao mengi wanayapata kwa marafiki na mitandaoni.!
 
Mkuu umenichekesha so wakulungwa wanamlipizia ha ha ha ha ha alafu wahuni wanakula hadi kwa mpalange
😂😂 aisee bora waendelee mbele mbele huko , ila kwa mpalange wapaache maaana jamaa atakufa kwa presha sasa.
 
Baba awe na urafiki wa karibu wa kimalezi na matoto wake wa kike, siku binti akianza kugongwa tu urafiki na baba automaticaly unakufa, nilimsikia mwanasaikolojia fulani na hata mtoto wa kiume akiwa karibu sana na mama..
 
We ukishamnunulia smart phone binti yako
Ujue wiki moja haipiti anaanza faidika na matunda ya kumiliki smartphone..

Utashangaa kutwa Yuko na simu..
aheri kumnunulia kuliko kutomnunulia.Dunia imebadilika acha ukoloni.Binti akiwa anatumia kitochi anaweza shawishika kirahisi sana kufanya ngono na watu mbali mbali ajazilie anunue smart ukitaka shangaa hili wewe unaweza kuwa na smart ya shs 200,000 ukakuta ana smart ya laki sita usiulize katolea wapi ukimbana atakuambia ni zile hela ulikuwa unanitumia nilikuwa nazibana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…