Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Nadhani unazungumzia baleheBinti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
Sent using Jamii Forums mobile app