Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama amejaaliwa ataanza kujibenuaHuwa inakuwaje Ndugu?
Anakua msafi msafi muda wote, akitoka hata kama duka lipo nje tu hapo ataoga au kubadili nguo, akitembea atabinua kiuno, atakua hana uoga wala aibu, ukiongea nae anakukazia macho usoni, anakujibu majibu shortcut, akiagizwa dukani huchukua masaa mawili kutoka,
Ataanza kiburi na jeuri.
MTOA MADA UMEPOTOKA KATIKA HILI NA SIDHANI KAMA WEWE NI MZAZI WACHILIA MBALI KUOA
NA KAMA NI MZAZI BASI HUJUI WAJIBU WAKO KAMA MZAZI!
SHAME!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu kwani anamiaka mngap na mazingira ya kwako yakoje, anasoma bweni au kutwa, na je nimtu kakutoka toka au mnambania? Nijibu hapo kwanzaKwa hiki ulichokiandika hapa Ndugu muda si mrefu napiga Simu Kijijini Kwetu wanitafute Fimbo za Mianzi nije nimmalize Mtu kwani ameshaanza.
Huna haja ya kumpiga, kaa nae chini msemezane kuhusu elimu ya uzazi, ni muda sasa wa wazazi kuzungumza na watoto wao na kuwafunza juu ya kujilinda na Mimba za utotoni pamoja na VVU,Kwa hiki ulichokiandika hapa Ndugu muda si mrefu napiga Simu Kijijini Kwetu wanitafute Fimbo za Mianzi nije nimmalize Mtu kwani ameshaanza.
Nizuie au nipunguze kabisa huko Kunyiriwa Kwake.
JAZBA NA HASIRA HAVITAKUSAIDIA KATIKA HILISasa Wewe kama Mzazi mbona hakuna chochote ulichokichangia hapa na umekuja tu na blah blah zako?
Kwanza kabisa ukiona shikamoo,,na salam kutoka kwa vijana wa kiume zinazidi huko barabarani,,, elewa ngoma ipo uwanjani...pili atapunguza kukuomba pesa lakini anakuwa na vitu vya thamani mfano simu,,nguo,,nk...ukiona hivyo subiri mjukuu muda wowote...mzigo unaingia nyumbani kwakoKwa akina Mama najua Wao ni wepesi kwa Kugundua ( Kuwagundua ) Mabinti zao ila hapa nataka kwa Sisi Wababa ( akina Baba ) kuwa utawezaje kugundua mapema kuwa Binti yako Mpendwa kabisa Wanamume wameshaanza Kumnyiri / Kumngono / Kumtia kwa Kumuangalia tu? Leo nami nikipewa Maujanja naweza kuwa ni mwenye Furaha kwani kuna Vitu nimeanza Kuvishtukia kwa mbali.
Kwann asichunguze?mtoto unapaswa kuongea nae,,,ujuwe matatizo yake,,,mtoto ni rafiki yako,,awe wa kike au wa kiume..Mwishowe utatembea na mwanao. Usidhani haya matukio ya wababa kutembea na watoto wao yanaibukaga tu. Unaanza kumchunguza chunguza matokeo yake unaanza kufikiri vitu hukutakiwa kufikiri kwa binti yako.
Mkuu Wewe shupaza shingo lakini tambua uko kwenye red line,utamzini tu huyo binti unayemuulizia humu,wewe kama good dad wajibu wako ni kutoa elimu ya jinsia na mahusiano,sio kuulizia dalili,hakika umepotokaSasa Wewe kama Mzazi mbona hakuna chochote ulichokichangia hapa na umekuja tu na blah blah zako?
Sababu ya ujeuri?Binti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
Hata Hasheem rungwe anawafuasi wake....hongera mkuumwisho wake ataanza kuvuta picha hadi jinsi wanavomlala mwanae. moyoni atakua anajiuliza "kwahio mwanangu wanampiga doggystyle? kwahio mwanangu na yeye wanamnyonya kipapa?"
hili swali ni la kipuuzi, nakusapoti mkuu.
Halafu ukimuangalia kwa mgongoni,,Yale mabonde ya milima miwili yanakuwa na mtikisiko wa ajabu..elewa kuna watu wanakwea milima hyo...Tembea yake inabadilika
SawaKwann asichunguze?mtoto unapaswa kuongea nae,,,ujuwe matatizo yake,,,mtoto ni rafiki yako,,awe wa kike au wa kiume..