Ni dalili gani au zipi za awali kabisa zinazoweza kumsaidia Baba kuweza kujua kuwa Binti yake ameshaanza kufanya Ngono?

Ni dalili gani au zipi za awali kabisa zinazoweza kumsaidia Baba kuweza kujua kuwa Binti yake ameshaanza kufanya Ngono?

Anakua msafi msafi muda wote, akitoka hata kama duka lipo nje tu hapo ataoga au kubadili nguo, akitembea atabinua kiuno, atakua hana uoga wala aibu, ukiongea nae anakukazia macho usoni, anakujibu majibu shortcut, akiagizwa dukani huchukua masaa mawili kutoka,
Ataanza kiburi na jeuri.
 
Kwa hiki ulichokiandika hapa Ndugu muda si mrefu napiga Simu Kijijini Kwetu wanitafute Fimbo za Mianzi nije nimmalize Mtu kwani ameshaanza.
 
MTOA MADA UMEPOTOKA KATIKA HILI NA SIDHANI KAMA WEWE NI MZAZI WACHILIA MBALI KUOA

NA KAMA NI MZAZI BASI HUJUI WAJIBU WAKO KAMA MZAZI!

SHAME!

Sasa Wewe kama Mzazi mbona hakuna chochote ulichokichangia hapa na umekuja tu na blah blah zako?
 
Kwa hiki ulichokiandika hapa Ndugu muda si mrefu napiga Simu Kijijini Kwetu wanitafute Fimbo za Mianzi nije nimmalize Mtu kwani ameshaanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu kwani anamiaka mngap na mazingira ya kwako yakoje, anasoma bweni au kutwa, na je nimtu kakutoka toka au mnambania? Nijibu hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiki ulichokiandika hapa Ndugu muda si mrefu napiga Simu Kijijini Kwetu wanitafute Fimbo za Mianzi nije nimmalize Mtu kwani ameshaanza.
Huna haja ya kumpiga, kaa nae chini msemezane kuhusu elimu ya uzazi, ni muda sasa wa wazazi kuzungumza na watoto wao na kuwafunza juu ya kujilinda na Mimba za utotoni pamoja na VVU,

Hii ni kwa watoto wote wa kike na wa kiume.
 
Sasa Wewe kama Mzazi mbona hakuna chochote ulichokichangia hapa na umekuja tu na blah blah zako?
JAZBA NA HASIRA HAVITAKUSAIDIA KATIKA HILI

KAA KWENYE NAFASI YAKO KAMA BABA WA FAMILIA
KAA KWENYE NAFASI YAKO KAMA KICHWA CHA FAMILIA
 
Kwa akina Mama najua Wao ni wepesi kwa Kugundua ( Kuwagundua ) Mabinti zao ila hapa nataka kwa Sisi Wababa ( akina Baba ) kuwa utawezaje kugundua mapema kuwa Binti yako Mpendwa kabisa Wanamume wameshaanza Kumnyiri / Kumngono / Kumtia kwa Kumuangalia tu? Leo nami nikipewa Maujanja naweza kuwa ni mwenye Furaha kwani kuna Vitu nimeanza Kuvishtukia kwa mbali.
Kwanza kabisa ukiona shikamoo,,na salam kutoka kwa vijana wa kiume zinazidi huko barabarani,,, elewa ngoma ipo uwanjani...pili atapunguza kukuomba pesa lakini anakuwa na vitu vya thamani mfano simu,,nguo,,nk...ukiona hivyo subiri mjukuu muda wowote...mzigo unaingia nyumbani kwako
 
Mwishowe utatembea na mwanao. Usidhani haya matukio ya wababa kutembea na watoto wao yanaibukaga tu. Unaanza kumchunguza chunguza matokeo yake unaanza kufikiri vitu hukutakiwa kufikiri kwa binti yako.
Kwann asichunguze?mtoto unapaswa kuongea nae,,,ujuwe matatizo yake,,,mtoto ni rafiki yako,,awe wa kike au wa kiume..
 
Sasa Wewe kama Mzazi mbona hakuna chochote ulichokichangia hapa na umekuja tu na blah blah zako?
Mkuu Wewe shupaza shingo lakini tambua uko kwenye red line,utamzini tu huyo binti unayemuulizia humu,wewe kama good dad wajibu wako ni kutoa elimu ya jinsia na mahusiano,sio kuulizia dalili,hakika umepotoka
 
Binti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
Sababu ya ujeuri?
 
mwisho wake ataanza kuvuta picha hadi jinsi wanavomlala mwanae. moyoni atakua anajiuliza "kwahio mwanangu wanampiga doggystyle? kwahio mwanangu na yeye wanamnyonya kipapa?"

hili swali ni la kipuuzi, nakusapoti mkuu.
Hata Hasheem rungwe anawafuasi wake....hongera mkuu
 
Ukiona anaanza paka paka manukato tuu.na wanja.lipstic .anatengeneza nywele sana na kuwekeza muda kwenye line za simu ujue kuna bwege tayar keshatia saundi
 
Back
Top Bottom