Ni dalili ya uchawi au kawaida?

Ndio ni dalili ya kichawi hapo bado kaniki, matunguli na ungo tu
 
Watu kama wewe, hata ikitokea watu wamekushauri vizuri hapa bado utawaonea wivu kwa nini wana wanajua kuliko wewe...

It's in your blood...
 
Pole Sana ndugu yangu Wala haupo peke yako ...watu wengi tu Wana hiyo tabia ! Kikubwa umeshajijua jitahidi Sana kuridhika na chako huku ukitafuta mbinu ya kupata zaidi ....pia usipende kuchimba chimba maisha ya watu Sana utapata sonona
 
shukilai hiyo roho hizo chuki elekeza kwenye kutafuta pesa kubana matumizi kuweka malengo ....badili hiyo roho kuwa motivation utafika mbali na kama kuna mahala unaona unakwama uliza mtu aliyekupita
 
Kuna siku nilimsifia jamaa fln tulisoma nae Yuko pazur tu Ni manager company fln hapa dsm .bas nikasema jamaaa Yuko vzr Ana akili kubwa mno anajuwa kusoma alama anapitia makampuni makubwa duh jamaa ambae nilisoma nae aksema hamna kitu juma mban Hana lolote ata akiwa shule alikuwa alikuwa mwepesi tu ..nikajuwa tu kuwa Ni wivu coz jama tulisoma wote na yeye katanguliaa katk maisha Yuko mbali
 
Hapo hapo ulipo, piga magoti afu nyoosha mikono juu ukitazama angani halafu sema maneno haya, "MUNGU MIMI NI MCHAWI MKUBWA SANA MWENYE ROHO MBAYA KALI YA HUSDA, WIVU NA CHUKI. NIMEKOSA SANA, NIMEKOSA MIMI. NAOMBA MUNGU UNISAMEHE NA UNIOKOE KATI HALI HII YA UCHAWI NILIYOMO MAANA ITANIPELEKA PABAYA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…