Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Ndio ni dalili ya kichawi hapo bado kaniki, matunguli na ungo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nakwambia, moja ya dalili ya kuzidiwa na kushughulika na ya wengine, nyingine kukasirika hovyo. Hebu jipe muda utulize mwili, kisha uone hiyo hali ya kuumia kama itakuwepo ama laUnawaza ngono tu
Wacha Maneno Mbofumbofu WeweSijui kama ni kila askari ana tabia za hao polisi..... ASKARI NI MUHIMU SANA KWA JAMII HASA UKISHAJUA.. Wla usitumie tena mifano kama hii.
Watu kama wewe, hata ikitokea watu wamekushauri vizuri hapa bado utawaonea wivu kwa nini wana wanajua kuliko wewe...
It's in your blood...
Pole Sana ndugu yangu Wala haupo peke yako ...watu wengi tu Wana hiyo tabia ! Kikubwa umeshajijua jitahidi Sana kuridhika na chako huku ukitafuta mbinu ya kupata zaidi ....pia usipende kuchimba chimba maisha ya watu Sana utapata sononaHabarini za humu JF,
Mimi ni kijana wa umri miaka 27. Ninafanya kazi katika company flani hivi. Nataka niulize je hii ni dalili ya kuwa mchawi au lah?
Kutokana na katabia ka kuona wivu maendele ya watu naumia moyoni na ninakuwa na mawazo pia. Leo kuna mtu ninafanya nae kazi kaniambia anataka kununua gari, basi nimekuwa sina raha nae moyo wangu umejikunja sana mimi kimaisha nimemzidi ila akinunua gari atakuwa juu yangu.
Je, hii ni kawaida au ndo naanza kuwa na roho chafu, binafsi sipendi kumchukia mtu au kumuona katika hali mbaya ila akifanifikiwa roho inauma.
Nawasilisha..
shukilai hiyo roho hizo chuki elekeza kwenye kutafuta pesa kubana matumizi kuweka malengo ....badili hiyo roho kuwa motivation utafika mbali na kama kuna mahala unaona unakwama uliza mtu aliyekupitaHabarini za humu JF,