Umenikumbusha matukio kadhaa...
1. Miaka hiyooo wakati niko sekondari ya daraja A tulisoma na binti ambaye shuleni tulimfahamu kama mtoto wa baba. Na yeye hakuacha kusimulia baba yake anampenda sana kiasi kila mahala anaenda nae, mzee wake alikiwa na uwezo (pesa ipo). Wakati mama wa huyo binti yupo pia na wanaishi wote nyumba moja ila, sherehe yeyote atayoenda baba na inahitaji watu wawili tuu, binti alibebwa mama wa binti aliachwa nyumbani, hata hafla za kiofisi.....
Baadae baadhi ya wanafunzi walinong'ona analiwa na baba yake mzazi. Binti hakuwa mrembo wa sura na pia hakuwa na sura ya kiume ila alikuwa amejaa nyama nyama yaani tako tako, paja paja na miguu ya bia. Labda ndo vilimfanya awe karibu na binti yake, maana binti mwenyewe alikuwa anasimulia baba mzazi anamfanyia shopping hadi ya vitu vya sirini, chupi, sidiria, pedi. Na anatuambia baba anataka nijaribu chupi na sidiria aone zimenikaaje na binti anasimulia kuwa hilo ni jambo la kawaida na mama yake wala hasemi chochote......
Kwa jamii za kiafrika hii ni dalili kuwa baba anamahusiano ya kimapenzi na binti yake wa kumzaa.
2. Mmoja wa majirani tulikaa mtaa mmoja zaidi ya miaka 5. Sitotaja majina kuepusha kuweka taarifa za watu hewani. Hawa majirani waliishi baba na mkewe na watoto 2, ila pia walikuwa wanaishi na ndugu wengiii wa mke na wengine wengi wa mume. Mume alikuwa muajiriwa na pia alikuwa na biashara nyingi, mume kwenye ajira yake alikuwa anasafiri sana na alikuwa mtu wa vikao, nyumbani anapatikana kwa manati. Baba wa watu inaonekana alijituma sana familia yake iishi vizuri, na kweli pesa aliivuna ila mkewe ndo akawa mpweke. Hapati kampani ya mumewe, kila kitu anapata, wanaishi nyumba nzuri, gari zuri, watoto wanasoma shule nzuri ila ndo mke mpweke, japo nae alikuwa anafanya kazi ila ni ile anafanya kazi ili apoteze muda na asiwe mama wa nyumbani maana mumewe alifanya kila kitu.
Sasa katika ndugu wanaopita kukaa kwenye nyumba yao kijana mmoja wa kiume alikuwa mdogo wa huyo mke ambae wamezaliwa baba mmoja ila mama tofauti. Mdogo mtu akaletwa pale kwao akitokea kijijini kuja kusoma chuo kikuu, alikaa hapo hadi akaoa, ila.... yule mke alitokea kuwa karibu sana na huyu mdogo wake wa kiume kuliko ndugu wengine woote waliopita hapo kiasi kwamba akawa kama dereva wake, kila mahala wanaenda wote hadi kwenye bar wanakunywa wanalewaaa wanarudi nyumbani chakarii....
Weekend mume anaenda kazini na kwenye biashara zake, mke atatoka na mdogo wake huyo wa kiume atampeleka saluni atamsubiri hapo hadi wamalize kusuka, wataenda mahali wale kisha wanaanza kunywa pombe kurudi nyumbani usikuu wako chakariiii.....
Hawa mtaani pale kila mtu alijua wana mahusiano ya kimapenzi ambacho hatukuelewa mumewe haoni...!!! Au anaamini mkewe hawezi kuliwa na kaka yake wanaeshea baba...!!???
Miaka kadhaa mbele ndoa ya yule mdogo wa mke ilivunjika na aliendelea kushirikiana na dada yake kibiashara japo kila mtu alikaa kwake.
Kuna kipindi walisafiri wote kwenda China kufata mzigo wa biashara..... yaliyofanyika huko mengine yalivuja hadi huku bongo sijui mumewe alichukuliaje ile hali ila alikuwa na kisukari......
Mambo ni mengi muda ni mchache, ila watu wa damu moja kuhusiana kimapenzi binafsi nachukulia kama ushenzi tuu na kujiendekeza na kukosa adabu na kuendeleza fantasy/tamaa zisizo na kichwa wala miguu.
Nimejikuta nakumbuka nilivyompiga kibao binamu aliyenifata SA kuniambia ananipenda kimapenzi na anataka tuwe wapenzi....
Ubinadamu kazi sana.