Mr Beltashezah Member Joined May 14, 2024 Posts 6 Reaction score 9 May 16, 2024 #1 Ikiwa upo mbali na nduguzo, umekua mtu wa bize sana na kazi kiasi kwamba upati mda wa kuwatembelea kujua shida zao na changamoto. Ni vipi waweza tambua kuwa una umuhimu kwao kwa kuwasaidia changamoto zao?
Ikiwa upo mbali na nduguzo, umekua mtu wa bize sana na kazi kiasi kwamba upati mda wa kuwatembelea kujua shida zao na changamoto. Ni vipi waweza tambua kuwa una umuhimu kwao kwa kuwasaidia changamoto zao?