Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
- Thread starter
- #41
yani hapo tu niko hoi bin taaban. What a lovely song
Ni nzuri kwakweli.
Mi hapo nimekuonjesha tu, ukiiona yote ndo utaenjoy zaidi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani hapo tu niko hoi bin taaban. What a lovely song
Ewaaaaaaaaaaah!!!
Hope umemfikia Mr. Loya na nina imani ametabasamu kwa mawimbi makubwa kbs!
Ni nzuri kwakweli.
Mi hapo nimekuonjesha tu, ukiiona yote ndo utaenjoy zaidi!
thanx kipipi kwa kutuwekea huu wimbo huku maana mpaka zawadi nimeletewa coz of that song!loya kafurah kinoma!
ntatafuta hicho king'amuzi niangalie jaman
Kigugumizi isiwe kikwazo, ongea kwa vitendo basi au mifano pia!!
Kipipi, you finish it all, no ingredients to add.Dah . . .kweli umeguswa mpendwa, maelezo yako tu yana ujazo!
Unajua kuna mambo ambayo ukiyaona ama kusikia yanaleta kumbukumbu ya jambo flani,
mpaka ukahisi labda kuna mtu kayasoma mawazo yako.
Kizuri ni kwamba,
From such things, unaweza kupata msisitizo wa hisia zako na kile ukifikiriacho pia.
Vile vile unaweza kujisahihisha we mwenyewe na kuona kile unachoface kina uzito gani
na hatimaye kupata possible answers if not the solution kabisa.
Mfano: Kama kuna daraja lisilopitika, kumbe basi kuna alternative ya kupaa angani . . .LOL!
So to you . . . kama barabara ni mbovu tunapaa na fastjet au sio besti??? hahah
All because of love and faithfulness . . .right??
That means upo tayari kufanya kitu tofauti kinachowezekana kwa ajili ya kuwa na mpendwa wako.
Jamani mnaosingiziaga distance mioyo yenu haina utayari . . . mshindwe!
Good for you KOKUTONA, Kipipi loves you too!
Vere gud my dia.
Ninong'oneze basi ni zawadi gani umepewa etii!
kawimbo katamu kweli,umfikie RUTTASHOBOLWA wangu popote alipo
sijausikiliza huo wimbo lakini kwa maneno haya ni kama hayo mapenzi yapo upande mmoja.......Pole mdogo wangu, ntakuletea king'amudhi jioni uje uione!
But kwa baadhi ya maneno,
Here we can go . . .
Ni kitu gani kinachotufanya, mimi nawe tuwe mbali.
Ni daraja gani lisilpitika, nieleze nipae angani.
Nimechoka am so lonely.
Kila nipitapo watu wanitaka kimapenzi.
Siwezi kwakuwa, nimeshakuhifadhi wewe . . .ndani ya moyo wangu.
Because I love you
You always in ma mind
Ma heart . . . ma soul . .I just wanna be close to you!!!
sijausikiliza huo wimbo lakini kwa maneno haya ni kama hayo mapenzi yapo upande mmoja.......
sasa kama ndo hivyo kazi inaanzia hapo... hata upae angani bado hutamfikia......
nakumbuka rafiki yangu BAK anasisitiza sana kupenda unapopendwa, otherwise ndo kila siku itakuwa kulalamika kimtindo huu
sijausikiliza huo wimbo lakini kwa maneno haya ni kama hayo mapenzi yapo upande mmoja.......
sasa kama ndo hivyo kazi inaanzia hapo... hata upae angani bado hutamfikia......
nakumbuka rafiki yangu BAK anasisitiza sana kupenda unapopendwa, otherwise ndo kila siku itakuwa kulalamika kimtindo huu
mmmmh!siri yangu bwana,nitakunong'oneza baadae bas!