Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
- Thread starter
-
- #61
Ooohh nimekaribia my passion lady! Aka kawimbo kana faa kila mara, hakika Kipipi umenigusa!
Ngoja ni muite rafiki Evelyn Salt na shem marejesho pamoja na mke wa Chimbuvu Madame B bila kumsahau Zion Daughter pamoja Paloma!
Nami nimeona tu ulivyoguswa.
Bidada alikuwahi akakudedicatia . . . mwenyewe ukatoa mpaka zawadi.
Hongera sana mheshimiwa!
UJUMBE: UKIGUSWA GUSIKA.
Kipipi thanks kwa wimbo wako uloweza kunitoa machimboni Mererani!Because I love you
U always in ma mind
Ma heart, ma soul . . .
I just wanna be Close to you!
Ndio unanifukuza au ?
Copy kwa Mr Rocky
Ndio unanifukuza au ?
Copy kwa Mr Rocky
Kaka naomba kukujulisha kuwa mi ni mzima kabisa tena sina tatizo lolote!Waooh!
Ndg yangu , wajua sikuelewielewi ni kipi kilichokusibu! Kwani even via mobile hukua ukipatikana!
Pia ni kama hujanitendea haki ujue?
Because refar ulivyo niconvice mi kurejesha majeshi, meanwhile muhamasishaji ukapotea bila data mahsusi ! So far nini kipo nyuma ya pazia ?
I hate you too!etegheko wa ng'wise ERICKB52
I hate you too!
I hate you too!
We zinakuhusu nini?hela unazodaiwa na Bishanga ziko wapi?
hela unazodaiwa na Bishanga ziko wapi?
mh!huo sasa uchokozi wa kimachomacho kabisaaaa!
Swadaktta!
NA UKIGUSIGA MIMBIKA!
Na hilo ndiyo neno langu la leo.
Umeona eeehHuyo Mzushi wako hana anachokidai kwa 52!
Sanasana huyo Bepari wako used alikuja Mwz akitokea Bkb mwaka jana August, akakwama hapa fare ya Kurudia Dar, nikamuombea lifti kwa washkaji zangu, wakampakia kwny Fuso nyuma. Kilichoniskitisha ile gari ilikua via Ar, nikampa gunia 3 za Mkaa & na Kuku wa 3 ampelekee 52, hakufikisha mtwana huyo! Akalala mazima hadi leo!
Lakini tushamsamehe kabla!
Kama hao kuku na mkaa na ww ulipatisipeti kutumia, na ww tumekusamehe.
haya mama Miss you too.Ni vizuri umeenjoy wimbo ila mi nakumiss hata silali kwa raha!
Ila nilitaka tu uache tabia yako ya kuchungulia wenzio.
Hope wanajamvi wamekuona na ubishi wako maana ulikuwa unaitwa ila unakula bati tu.
Hivi hukucheza kombolela utotoni mpaka ujifichefiche namna hiyo? lol
............:behindsofa: