Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Tumia matango Kwa wingi kuondoa hayo MAUTANGO TANGO[emoji1787][emoji1787]Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
kuwa serious mkuu...MPOKEE YESU KRISTO LEO ATAKUWEKA HURU View attachment 2963147
Nan kapiga hiyo pichaMPOKEE YESU KRISTO LEO ATAKUWEKA HURU View attachment 2963147
Tumia Griseofulvin au Kama Ndani ya wiki mbili Itakuwa bado Huoni matokeo mazuri Tumia ItraconazoleNimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
Kwann nisianze na hiyo Itraconazole kama ndo best au kuna contra indicationTumia Griseofulvin au Kama Ndani ya wiki mbili Itakuwa bado Huoni matokeo mazuri Tumia Itraconazole
Hajui wala hakumbuki jinaHuyo aliyekwambia utafute dawa hakukwambia ni dawa gani?
Dawa hutolewa Kulingana na Line of treatment..Kwann nisianze na hiyo Itraconazole kama ndo best au kuna contra indication
Hii Microcidal Ndo Griseofulvin 500mg ..Tumia hivyo vidonge Microcidal ambatanisha na hiyo cream covarex,kama utapata utanipa jibu kwa muda mfupi tu. View attachment 2963206
Okay mkuu nimekupata,hivyo vidonge nimevikubali sana.Hii Microcidal Ndo Griseofulvin 500mg ..
Ila hilo Microcidal ni Jina lake la Biashara ila Griseofulvin ndo Jina lake la Dawa na Huitwa Generic Name..
So Kuna Trade name na Generic name..
Trade name hubadilika ila Generic name ni constant..
Kwa Mfano Panadol Ni trade name ya Paracetamol ambayo ndo generic name yake..
Lakini kuna sehemu hakuna Panadol ila kuna sheladol Triodol na zingine
Sawa mkuu nimeelewaDawa hutolewa Kulingana na Line of treatment..
KUna First line Of treatment ,Second line na third..
First line treatmwnt huwa na Mild Side effects ukilinganisha na Second line ne third line..
Na pia umejiuliza kama Tutatumia Third line na zikafail tutaenda kutibu na nini??