tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Nimependa avatar yakoSema kutoa mimba ya masaa 72 hiyo sio kuzuia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa avatar yakoSema kutoa mimba ya masaa 72 hiyo sio kuzuia tena
Kabla ya kuingia kitandani na huyo mzinifu mwenzio maduka yalikuwa yamefungwa mkashindwa kununua Condom? Ama ilikuwa out of budget?Hbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.
Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.
Kuna dawa ambazo kwa uzoefu wangu nimewahi kuzitumia za ndani ya masaa 72 unameza vidonge 2 mkupuo.
Je dawa ipi inaweza kutumika ili kuzuia mimba hii, reality silo tyr kuitwa baba muda huu.
Nawasilisha.
Unaambiwa siku hizi ukimwi upo kimyaaaaaaa kama haupo vile!ha ha ha ha ha ha anza kuandaa vinepi mkuu da ila watu wana roho ngumu usawa huu mtu unakula papuchi bila ndomu na magonjwa yote haya. Ila kale ka utelezi katamu
Sio lazima uitwe baba utaitwa anko... kutoa mimba n dhambiHbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.
Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.
Kuna dawa ambazo kwa uzoefu wangu nimewahi kuzitumia za ndani ya masaa 72 unameza vidonge 2 mkupuo.
Je dawa ipi inaweza kutumika ili kuzuia mimba hii, reality silo tyr kuitwa baba muda huu.
Nawasilisha.
Murderer(s)condom ina herufi sita tu,ona sasa unakuja kulalamika huku,,
ngoja Murder waje watakwambia.........
After 72 hours??Imeisha hii..Asubiri ka toto tu
Haya sasa ona huyu mwanaume anachoenda kufanya
Najiuliza utakspomtoa huyo binti hiyo mimba,huna mpango wa kumuoa utamtumia utamuacha,akija taka mtt asimpate lawama zote zitakurudia
Watu wanatafuta watt wanakosa wew unaenda kuitoa,Mwache azae tuu
Wazae tuu...