Ni dawa gani ya kuzuia mimba baada ya masaa 72?

Ni dawa gani ya kuzuia mimba baada ya masaa 72?

ha ha ha ha ha ha anza kuandaa vinepi mkuu da ila watu wana roho ngumu usawa huu mtu unakula papuchi bila ndomu na magonjwa yote haya. Ila kale ka utelezi katamu
 
Hbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.

Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.

Kuna dawa ambazo kwa uzoefu wangu nimewahi kuzitumia za ndani ya masaa 72 unameza vidonge 2 mkupuo.

Je dawa ipi inaweza kutumika ili kuzuia mimba hii, reality silo tyr kuitwa baba muda huu.

Nawasilisha.
Kabla ya kuingia kitandani na huyo mzinifu mwenzio maduka yalikuwa yamefungwa mkashindwa kununua Condom? Ama ilikuwa out of budget?
 
ha ha ha ha ha ha anza kuandaa vinepi mkuu da ila watu wana roho ngumu usawa huu mtu unakula papuchi bila ndomu na magonjwa yote haya. Ila kale ka utelezi katamu
Unaambiwa siku hizi ukimwi upo kimyaaaaaaa kama haupo vile!
 
Hbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.

Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.

Kuna dawa ambazo kwa uzoefu wangu nimewahi kuzitumia za ndani ya masaa 72 unameza vidonge 2 mkupuo.

Je dawa ipi inaweza kutumika ili kuzuia mimba hii, reality silo tyr kuitwa baba muda huu.

Nawasilisha.
Sio lazima uitwe baba utaitwa anko... kutoa mimba n dhambi
 
Mama yako angeitoa mimba yako sijui kama ungekuwa hapa kuandika huu usenger wako hapa, natamani wakati wa kutoa hiyo mimba hizo dawa zikawe cancer tumboni kwako, ufe hata leo tukuzike mbuzi ww
 
Hahahahaha..... baba Kija..
Sitaki kukumbuka the stress!
Wakati wa miuno ulichekeleeeeaaa...pitia pages za excellent parenting and alike.Jiandae
 
Ataitwa single mother acha atoe tu
Haya sasa ona huyu mwanaume anachoenda kufanya
Najiuliza utakspomtoa huyo binti hiyo mimba,huna mpango wa kumuoa utamtumia utamuacha,akija taka mtt asimpate lawama zote zitakurudia

Watu wanatafuta watt wanakosa wew unaenda kuitoa,Mwache azae tuu
 
Kweli kuzaliwa ni bahati Now dayz maana tume na kamati za roho mbaya za kukatisha uhai wa kiumbe zipo kila kona zik ongozwa na baba mmiminia spem
 
Ayaaaaaaaa kakwama jamaa usiogope anaweza kuigungua alafu mtoto bahati mbaya.muombe mungu tu iwe ivyo kwa hauta itwa baba kama unavyotaka
 
pumbafuuu sana baharia gani unapiga peku peku
 
Back
Top Bottom