Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

Anne Maria

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
399
Reaction score
98
msaada tafadhali
my friend anahitaji kuzaa mapacha so desparately,, eti ni dawa zipi zitamfaa na anywe muda gani na dosi yake
asante
 
Kuzaa mapacha mimi najua ni genetic thing.sijawai sikia dawa iwayo yoyote ile duniani.ebu ngoja wakongwe waliokula chumvi nyingi waje watujuze
 
dawa zipo (mf "clomiphen") lkn ni vzr huyo rafiki yako aonane na dr kwnz kabla ya kuanza kizitumia ili apewe elimu tosha ya hz dawa...anaishi wp huyo rafiki wako?
 
dawa zipo (mf "clomiphen") lkn ni vzr huyo rafiki yako aonane na dr kwnz kabla ya kuanza kizitumia ili apewe elimu tosha ya hz dawa...anaishi wp huyo rafiki wako?

Unataka kujua anapoishi ili?
 
shauri wa nani akamuone Osaka...c unajua cku hz kila mtu mwny koti jeupe dr!
 
kuna dawa zinaitwa clomid zinasaidia sana.na kuna njia nyengine za kuchoma sindano,ila sikumbuki sindano ya aina gani.ma celebrity wa nje wanatumia sna,wenye kutaka twins
 
kuna dawa zinaitwa clomid zinasaidia sana.na kuna njia nyengine za kuchoma sindano,ila sikumbuki sindano ya aina gani.ma celebrity wa nje wanatumia sna,wenye kutaka twins

je ipo na dawa ya kupata mtoto wa kiume au kke
 
Nachojua mm ni kwamba kama kwenu kuna mapacha then the percentage ya ww kupata mapacha ni kubwa hakuna dawa
 
kama dawa za kupata mapacha zipo, je zinaweza kuleta madhara gani kwa mama na watoto?
 
Watu bwana, mnapenda sana kumsaidia Mungu kazi yake eenh? yaani kupewa uwezo wa kufikiri kidogo tu mnataka Kumpanda Mungu kichwani, Hii habari nimeisoma na kuistadi kwa makini hasa kwa hao wazungu mnaosema, lakini nimefikia conclusion kuwa kupata watoto mapacha, au mtoto jinsia unayuitaka ni maamuzi ya nayekupa mtoto mwenyewe (Mungu). wanawake wazungu woote waliohojiwsa ambao wametumia hadi USD. 60,000 kununua kit za kupata mtoto jinsia wanayotaka au watoto mapacha, wameishia kupata kinyume nao kukiri kuwa its in God's hand.

Labda umsaidie Mungu kujipandikisha mimba, hapo utapata unachotaka, ila sio kwa kutumia mpango wa Mungu, utakuwa unabahatisha tu, na ukipata jua ni kuwa Mungu alipanga tu iwe hivyo.
 
kama dawa za kupata mapacha zipo, je zinaweza kuleta madhara gani kwa mama na watoto?

....Ni swai zuri sana hilo maana haya madawa yanaweza kabisa kuwa na side effects mbaya sana kwa mama au kwa mtoto/watoto watakaozaliwa.
 
Naona kbs siku zinavyozidi matatizo tunayatafuta,ozone layer tumeharibu wenyewe sijui na hili....
 
hakuna kisichokuwa na madhara,hata chakula chenyewe kina madhara (kilichopo ni kuthaminisha kati ya faida na madhara kipi kinabeba uzito zaidi)...thats why mi nimemshauri aonane na madaktari bingwa wa mambo ya uzazi,wao wana nafasi ya kumweleza faida na madhara yote yanayohusiana na hizo dawa then anafanya informed consent!! Hata hao wanaotumia hizi dawa huko ulaya sio kwamba wanakwenda tu dukani na kuzinunua,wanaonana na daktari b4!
 
je ipo na dawa ya kupata mtoto wa kiume au kke
hakuna,ila ipo njia na ni very expensive ya kupandikizwa mayai ambayo yameshaangaliwa kama ni ya mtoto wa kike au wa kiume.ila baadhi ya watu wanaipinga kwani ni sawa na kumchezea mungu
 
Hizo dawa haziaminiki sana. MIMI nashauri atumie IVF (in vitro fertilization) hii ni njiaya uhakika, na anaweza kupangiwa humo ndani hata watoto wawili, wanne , sita uchaguzi wake tu , maradi awe na mkwanja mrefu.
 
Back
Top Bottom