Watu bwana, mnapenda sana kumsaidia Mungu kazi yake eenh? yaani kupewa uwezo wa kufikiri kidogo tu mnataka Kumpanda Mungu kichwani, Hii habari nimeisoma na kuistadi kwa makini hasa kwa hao wazungu mnaosema, lakini nimefikia conclusion kuwa kupata watoto mapacha, au mtoto jinsia unayuitaka ni maamuzi ya nayekupa mtoto mwenyewe (Mungu). wanawake wazungu woote waliohojiwsa ambao wametumia hadi USD. 60,000 kununua kit za kupata mtoto jinsia wanayotaka au watoto mapacha, wameishia kupata kinyume nao kukiri kuwa its in God's hand.
Labda umsaidie Mungu kujipandikisha mimba, hapo utapata unachotaka, ila sio kwa kutumia mpango wa Mungu, utakuwa unabahatisha tu, na ukipata jua ni kuwa Mungu alipanga tu iwe hivyo.