Ni dawa mbili tu nimeshuhudia zinamuachisha mtu pombe, moja nikiitekeleza mwenyewe

njia ya kwanza ni kiboko
 
Dawa ya pombe ni maziwa ya nguruwe basi
Ya sigara wakuu, nimechoka hiki kifungo.
Hapa nilipo naandika huku najizuia.
Mdomo na mate yangu vinanikumbuka kila saa, smoke one...😭😭.
 
Ya sigara wakuu, nimechoka hiki kifungo.
Hapa nilipo naandika huku najizuia.
Mdomo na mate yangu vinanikumbuka kila saa, smoke one...😭😭.
Sigara nami nilikuwa huko mkuu

hio kitu inasababisha kansa ya mapafu ama unangolewa koromeo unawekewa kimashine cha kuongelea, uwe unafikiria hayo jaribu kuyaunganisha na jinsi familia yako itavyoteseka kwa hayo matatizo utayoyapata.

Ila sigara ni kiboko aisee, nlikua naivuta ila kwa usiri mkubwa watu wengi walikuwa hawajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…