nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Mobutu alikuwa na maono kuliko maguAkaenda kujenga kiwanja cha ndege haramu kijijini kwake chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mobutu alikuwa na maono kuliko maguAkaenda kujenga kiwanja cha ndege haramu kijijini kwake chato
Kama alikuwa muovu mbona wananchi wanamkumbuka?
Bunge limekuwa Kama kijiwe cha kahawa. Yaani hakuna kitu cha maana wala hoja zenye mashiko. Yote aliyafanya kumpongeza mpk lugola akmwita no munguTuliposema tunataka katiba mpya alikuwa anajibu kwa kiburi kuwa katiba mpya sio kipaombele chake. Akaua mifumo yote ya kuhoji, huku akinajisi chaguzi za nchi hii ili kuwapa nafasi wanaccm wenzake. Leo hayupo, ila kakabidhi nchi kwa wahuni wenzie. Mmebaki mnalilia wakati alipokuwa anavuruga utawala wa sheria mlikuwa mnakenua eti kaifanya CCM kuwa imara. Hivyo CCM sukuma gang kaeni kwa kutulia muone CCM Msoga line wanavyopiga bao.
Si mawaziri waandamizi walimunywesha Simu Hilo liko wazi.
Na ndo wanakenua meno Sasa.
Muovu sanaUsitake kumpachika sifa za kijinga kama hatumjui, alikuwa ni kiongozi muovu. Na uovu wake tulisema hata alipokuwa hai.
You have brought same accusations to CCM cadres and I wonder where did you get audacity to question Tindo?Ndugu una hakika na haya unayomsingizia hayati JPM?
Yule mzee ameumiza raia wa Tanzania wengi sana kaharibu mifumo mpaka mama anavurugika kwenye kuiendesha nchi.Mama anajitahidi kutia viraka nchi kwa matobo yaliyotengenezwa na jiweWewe utakua ni fisadi au ndugu wa fisadi, probably.
CCM sikivu,Tuliposema tunataka katiba mpya alikuwa anajibu kwa kiburi kuwa katiba mpya sio kipaombele chake. Akaua mifumo yote ya kuhoji, huku akinajisi chaguzi za nchi hii ili kuwapa nafasi wanaccm wenzake. Leo hayupo, ila kakabidhi nchi kwa wahuni wenzie. Mmebaki mnalilia wakati alipokuwa anavuruga utawala wa sheria mlikuwa mnakenua eti kaifanya CCM kuwa imara. Hivyo CCM sukuma gang kaeni kwa kutulia muone CCM Msoga line wanavyopiga bao.
Sidhani kama aliziba mianya ya kifisadi badala yake aliziba watu midomo ,habari za kiuchunguzi tulizisikia awamu ya 4,umenikumusha mayanga(manyanga)Alidhibiti kwa kila namna wanaCcm wenzake walioliibia taifa la Tanzania kupitia sekta ya umeme. Hawa ni wale ambao kila mwaka walipiga dili kujifanya wanasaidia taifa kudhibiti upungufu wa umeme nchini ila kumbe walijinufaisha kwa asilimia kubwa.
Aliwadhibiti wanasiasa wenzake wa Ccm ambao walizoea kujizolea mali ya umma kadri wanavyotaka.
Hawa ni wale ambao kwao kupigia debe miradi ya kifisadi ili wapate hata ten pasent ni jambo la kawaida.
Leo hii wamerudi kwa kasi kama ilivuokuwa miaka ya 2005-2015.
Kwakuwa hayupo, bila shaka sasa tutaambiwa zile pesa za escrow zilizosombwa na magari ya Ikulu zilipelekwa kwa nani!Sidhani kama aliziba mianya ya kifisadi badala yake aliziba watu midomo ,habari za kiuchunguzi tulizisikia awamu ya 4,umenikumusha mayanga(manyanga)
Hakuna tuhuma hapa soon utasikia ufisadi mkubwa sana. Tindo ni mtu mwenye chuki dhidi ya hayati hana la maana.You have brought same accusations to CCM cadres and I wonder where did you get audacity to question Tindo?
Kuwa na aibu kupongeza upuuzi kama huu.Kama huu upotoshaji wako ni kweli, wapongozwe tu hao mawaziri kwa kuliponya taifa.
Unao ushahidi kuwa aliiba? Uwanja wa Chato ni mali yake?Habari ya chato?
Alizibiti wasio wake kuiba huku akiiba yeye?
Sema hapa ilikuwaje Mayanga Construction ikapewa tender ya ujenzi wa ndege chato?
Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato fedha ziliidhinishwa na Bunge lipi?
Kuwa na aibu kupongeza upuuzi kama huu.
Tukiweka mizani ya kupima mema na mabaya ya JPM mema yanazidi.Ila wewe una chuki za kishamba.Kumsema ibilisi kuna aibu gani? Tulia we kibaraka wa dhalimu.
Mbona yeye mwenyewe alikuwa fisadi mkubwa akijificha nyuma ya pazia la uzalendo.ujinga wake alitaka kuiba pekee yake wakati marais waliompa uwaziri miaka yake yote walimwachia akijipigia tu.alikuwa mbinafsi sanaAlidhibiti kwa kila namna wanaCcm wenzake walioliibia taifa la Tanzania kupitia sekta ya umeme. Hawa ni wale ambao kila mwaka walipiga dili kujifanya wanasaidia taifa kudhibiti upungufu wa umeme nchini ila kumbe walijinufaisha kwa asilimia kubwa.
Aliwadhibiti wanasiasa wenzake wa Ccm ambao walizoea kujizolea mali ya umma kadri wanavyotaka.
Hawa ni wale ambao kwao kupigia debe miradi ya kifisadi ili wapate hata ten pasent ni jambo la kawaida.
Leo hii wamerudi kwa kasi kama ilivyokuwa miaka ya 2005-2015.
Tukiweka mizani ya kupima mema na mabaya ya JPM mema yanazidi.Ila wewe una chuki za kishamba.
Trillion 1.5 Aliiba naniAlidhibiti kwa kila namna wanaCcm wenzake walioliibia taifa la Tanzania kupitia sekta ya umeme. Hawa ni wale ambao kila mwaka walipiga dili kujifanya wanasaidia taifa kudhibiti upungufu wa umeme nchini ila kumbe walijinufaisha kwa asilimia kubwa.
Aliwadhibiti wanasiasa wenzake wa Ccm ambao walizoea kujizolea mali ya umma kadri wanavyotaka.
Hawa ni wale ambao kwao kupigia debe miradi ya kifisadi ili wapate hata ten pasent ni jambo la kawaida.
Leo hii wamerudi kwa kasi kama ilivyokuwa miaka ya 2005-2015.
Uyo jamaa ndo walikua wanapeana madili na mwendazakeWe mpime kwa mazuri yake maana ni mfaidika wa utawala wake, mimi nampima kwa mabaya yake ambayo hata ww unajua anayo. Ni suala la kugawana upande tu.