Ni dhahiri Hayati Magufuli alichukiwa na wanaCCM wenzake alioziba mianya yao ya ufisadi

Ni dhahiri Hayati Magufuli alichukiwa na wanaCCM wenzake alioziba mianya yao ya ufisadi

Habari ya chato?

Alizibiti wasio wake kuiba huku akiiba yeye?

Sema hapa ilikuwaje Mayanga Construction ikapewa tender ya ujenzi wa ndege chato?

Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato fedha ziliidhinishwa na Bunge lipi?
Alivunja taratibu za manunuzi za serikali kwa kununua ndege mafichoni tena kwa 'cash'.
 
Usitake kumpachika sifa za kijinga kama hatumjui, alikuwa ni kiongozi muovu. Na uovu wake tulisema hata alipokuwa hai.

We jimama la Kinondoni punguza gubu na hasira havikujengi hivyo
 
Back
Top Bottom