ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Alivunja taratibu za manunuzi za serikali kwa kununua ndege mafichoni tena kwa 'cash'.Habari ya chato?
Alizibiti wasio wake kuiba huku akiiba yeye?
Sema hapa ilikuwaje Mayanga Construction ikapewa tender ya ujenzi wa ndege chato?
Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato fedha ziliidhinishwa na Bunge lipi?