Ni dhahiri Hayati Magufuli alichukiwa na wanaCCM wenzake alioziba mianya yao ya ufisadi

Bunge limekuwa Kama kijiwe cha kahawa. Yaani hakuna kitu cha maana wala hoja zenye mashiko. Yote aliyafanya kumpongeza mpk lugola akmwita no mungu
 
CCM sikivu,
Watu wanajiandaa kuunga juhudi kwa kukosa huduma za maji na umeme.
Hakuna tamko lolote la kulaani toka UVCCM/MWENEZI? Kwa kukosa huduma hizo
 
Sidhani kama aliziba mianya ya kifisadi badala yake aliziba watu midomo ,habari za kiuchunguzi tulizisikia awamu ya 4,umenikumusha mayanga(manyanga)
 
Sidhani kama aliziba mianya ya kifisadi badala yake aliziba watu midomo ,habari za kiuchunguzi tulizisikia awamu ya 4,umenikumusha mayanga(manyanga)
Kwakuwa hayupo, bila shaka sasa tutaambiwa zile pesa za escrow zilizosombwa na magari ya Ikulu zilipelekwa kwa nani!
 
You have brought same accusations to CCM cadres and I wonder where did you get audacity to question Tindo?
Hakuna tuhuma hapa soon utasikia ufisadi mkubwa sana. Tindo ni mtu mwenye chuki dhidi ya hayati hana la maana.
 
Habari ya chato?

Alizibiti wasio wake kuiba huku akiiba yeye?

Sema hapa ilikuwaje Mayanga Construction ikapewa tender ya ujenzi wa ndege chato?

Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato fedha ziliidhinishwa na Bunge lipi?
Unao ushahidi kuwa aliiba? Uwanja wa Chato ni mali yake?
 
Mbona yeye mwenyewe alikuwa fisadi mkubwa akijificha nyuma ya pazia la uzalendo.ujinga wake alitaka kuiba pekee yake wakati marais waliompa uwaziri miaka yake yote walimwachia akijipigia tu.alikuwa mbinafsi sana
 
Tukiweka mizani ya kupima mema na mabaya ya JPM mema yanazidi.Ila wewe una chuki za kishamba.

We mpime kwa mazuri yake maana ni mfaidika wa utawala wake, mimi nampima kwa mabaya yake ambayo hata ww unajua anayo. Ni suala la kugawana upande tu.
 
Trillion 1.5 Aliiba nani
 
We mpime kwa mazuri yake maana ni mfaidika wa utawala wake, mimi nampima kwa mabaya yake ambayo hata ww unajua anayo. Ni suala la kugawana upande tu.
Uyo jamaa ndo walikua wanapeana madili na mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…