Ni dhahiri kuwa CCM haiwezi kuzijibu hoja za Humphrey Polepole

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
 
Kushindwa kujibu hoja ni ugonjwa wao mkuu...katika yale magonjwa yasiyo ambukizi, nalo lipo kwa watu wa kijani.

Nahisi hata TAL, kuliko kujibu hoja, wameona bora wasogeze sogeze muda kwa kuzima hoja mpaka pale 29 flani mixer October.
 
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
We bwege CCM unaichukuliaje? Kwl chama kubwa yenye hadhi ya kimataifa ijibu vioja vya mpumbavu moja aliyekimbia kazi na kuamua kuishi km nguchiro? Be serious man
 
Nyumbu wanahangaishwa na Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, Hadi Raha🤣🤣🤣
Mara waanzishe thread hii, mara ile. Mara wamuunge mkono mpina aliyewapuuza, mara wamtukane.......yaani Mama amewaconfuse vibaya sana wamebaki kuwa genge la wachambaji tu.....alivyo jeuri sijui kama hakuwapelekea vijora wavae Ili wachambe vizuri.
 
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Ndugu yangu ingekua wewe ungeweza kweli kuzijibu? Wameamua kuwa mabubu...na mbaya zaidi hawawezi kutumia polisi kama kwa upinzani
 
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
ccm hawawezi kushindwa kumjibu polepole,bali wameamua kumpuuza strategically
 
Pole pole aliokotwa tu akiwa anazurura na mkoba kwapani, na viatu vimejaa vumbi. Hakupikwa kiuongozi ndani ya CCM. Kupata majaliwa alimpa wenge kumuahidi uwaziri mkuu
 
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Political whore, if you ask me to describe Polepole in two words. Huyo Polepole ni popo tu. Awamu ya 5 ambayo yeye alikuwa kwenye top 5 ya maamuzi ya nchi chini ya Magufuli ilikandamiza demokrasia, uhuru wa maoni, utawala wa sheria na kisha ikaanzisha utekaji na uuaji wakosoaji. RAIS Samia amejitahidi kwa kiasi kikubwa kuyaondoa hayo machafu yao
 
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Halafu polepole alivyokuwa mjanja kwenye kila hoja anayoitoa anaweka mfano na ushahidi ili watu vilaza na machawa wasikurupuke kuja kumsumbua.
Yaani hapo anakuonyesha kwamba ukitaka kuja kusumbuana naye ujipange kwanza na usidhani kuwa hoja zake ni nyepesi kwa mtu yeyote
 
Sasa hivi Kuna uhuru wa maoni? Watu wangapi wamepotezwa kutokana na kutoa maoni yao juu ya mambo mbalimbali? Kuna utawala wa sheria? Kuna Demokrasia? Pole pole hoja zake ni ngumu kumeza. Huko hakuna wa kuzijibu maana wakijibu tu anafumua zaidi. Kuna fisadi papa mmoja alijaribu kukunjua sharubu kidogo tu huyooo, kimyaaaa. Na yule RC naye alijifanya kuloloma naye akapewa za uso kimyaaa mpaka leo.

Lakini jambo Moja muhimu ambalo wote tunatakiwa kujua ni kwamba, nchi hii na vyote vilivyomo haijaumbwa kwa ajili ya mtu mmoja au genge fulani la watu. Ni kwa ajili yetu sote. Waasisi wa Taifa letu hawakutuachia haya tunayoyaona leo. Rushwa imetamalaki, uonevu, dhuluma, ukandamizaji na madudu mengine mengi. Wakiambiwa warekebishe hawajali, wakikosolewa hawasikii, wanajenga chuki dhidi ya wakosoaji, wanatafuta kulipiza visasi kwa vile tu tumewapa nguvu hizo sisi wenyewe.

Nguvu hiyo inakaribia ku expiry, wanahaha huku na kule kutaka kuhuisha nguvu hiyo ili wendelee kula mema ya nchi huku wengine wakililia ndugu na watoto wao ambao hawawaoni.

Tunafundishwa kunyenyekea mbele za wakuru na kutii mamlaka maana Bwana Mungu wa majeshi asema, hakuna mamlaka iliyoko duniani ambayo haitokani na Mungu. Tutaendelea kufanya hivyo hivyo kila uchao. Na kama Mungu aishivyo, yeye mwenyewe ataamua hatma ya maisha yetu Leo na kesho.
 
Political whore, if you ask me to describe Polepole in two words. Huyo Polepole ni popo tu.
Tutumie busara bora kabisa ya Quran tukufu. Nguruwe ni haramu lakini ikikukuta dharura ya kuokoa maisha yako, unaweza kula.
 
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.

Rostam baba lao alijibu akajiabisha tu sasa kuna boss zaidi yake?
 
Back
Top Bottom