Ni dhahiri kuwa CCM haiwezi kuzijibu hoja za Humphrey Polepole

Ni dhahiri kuwa CCM haiwezi kuzijibu hoja za Humphrey Polepole

Political whore, if you ask me to describe Polepole in two words. Huyo Polepole ni popo tu. Awamu ya 5 ambayo yeye alikuwa kwenye top 5 ya maamuzi ya nchi chini ya Magufuli ilikandamiza demokrasia, uhuru wa maoni, utawala wa sheria na kisha ikaanzisha utekaji na uuaji wakosoaji. RAIS Samia amejitahidi kwa kiasi kikubwa kuyaondoa hayo machafu yao
Samia ameondoa utekaji na mauaji ?achilia mbali tu kuyakemea
 
Samia kashuka kutoka mbinguni? Mdude Nyagali, Shoka.

Hii ni kama kusema nguruwe haram ila mchuzi halal, huyo jpm na samia chungu kimoja ccm na walikuwa pamoja
Labda ulikuwa huishi Tanzania, unasimuliwa tu kuhusu Magufuli. Samia amerekebisha uchafu wa Magufuli ila hajamaliza wote.
 
Labda ulikuwa huishi Tanzania, unasimuliwa tu kuhusu Magufuli. Samia amerekebisha uchafu wa Magufuli ila hajamaliza wote.
Sawa chawa ila kama anasafisha na kuwapoteza hakina mdude sirmia yupo vizuri
 
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.

Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.

CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
CCM wajibu ili wampe mileage?? Mtu mwenyewe yuko wapi? Mzee si mzee na kwenye ujana hayupo. Hana familia wala mtoto, anaishi kama popo. Wa kazi gani?
 
Sasa watu kama Lucas mwashambwa wataweza kweli kujibu hoja za kisomi na kifikra zaidi?.
huko CCM wapo viongozi hata miongozo ya chama chao hawaijui wala katiba zao wenyewe hawazifuati vile vile sheria zao wenyewe hawajui, kusoma basi hata miongozo ya chama chao hawana muda, unategemea watu wa aina hii wataweza kweli kumjibu mtu kisomi na kwa hoja zinazo-make sense bila kutumia personal attack au kumtafutia makosa/historia yake ya nyuma kumuadhibu.

Hivi hata wewe unaweza kubali vipi mjinga kama akina mwijaku ambao kwa hakika hata katiba ya chama haijui akapambane bungeni ktk vifungu vya sheria na mikataba ya nchi wakati hayo ya chama tu hayajui.

Ukiona mtu anatoa sifa nyingi na kupamba kwingi badala ya kutumia logic na hoja zinazoeleweka ujue kichwani ni zero anauficha ujinga wake kupitia mapambio kwa anaowalamba miguu.

Hata humu tuwaite hao chawa wa CCM kama wataweza kujibu hoja hata moja bila matusi, hawapo na hawawezi.
 
We bwege CCM unaichukuliaje? Kwl chama kubwa yenye hadhi ya kimataifa ijibu vioja vya mpumbavu moja aliyekimbia kazi na kuamua kuishi km nguchiro? Be serious man
Jibu hoja mwenzio jana kaichambua katiba ya chama chenu na vifungu kwa ushahidi, vipi wewe hivi unaijua hata historia ya maboresho ya katiba ya chama chako?
 
Sawa chawa ila kama anasafisha na kuwapoteza hakina mdude sirmia yupo vizuri
Sasa Mdude wa kazi gani? Alitekwa Mar 2 wakati wa Magufuli na kisha kufunguliwa mashataka ya kubambikiza. Samia alipokuja akasema kesi za kubambikizwa zifutwe. Mdude akaachiliwa. Lakini first week akaanza kumtukana Samia kwenye majukwaa.

Sasa jitu linaitwa Mdude la kazi gani?
 
Batik Air Indonesia
_
Official account of Batik Air Indonesia. A full-service airline part of @lionairgroup. Contact Center: +62882335469434 (WhatsApp Chat)
 
Official account of Batik Air Indonesia. A full-service airline part of @lionairgroup. Contact Center: +62882335469434 (WhatsApp Chat)
 
Back
Top Bottom