Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
We bwege CCM unaichukuliaje? Kwl chama kubwa yenye hadhi ya kimataifa ijibu vioja vya mpumbavu moja aliyekimbia kazi na kuamua kuishi km nguchiro? Be serious manHoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.
CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Ndugu yangu ingekua wewe ungeweza kweli kuzijibu? Wameamua kuwa mabubu...na mbaya zaidi hawawezi kutumia polisi kama kwa upinzaniHoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.
CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
ccm hawawezi kushindwa kumjibu polepole,bali wameamua kumpuuza strategicallyHoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.
CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Hoja ya kumwaga oil chafu kila baada ya miaka kukijengea taswira mpya chama mbele wa wananchiSasa Polepole ana hoja gani za kujibiwa na watu wenye akili?
Mtu msafi wa kumjibu ndio hayupo, labda chama kimuombe mzee Warioba au mzee Butiku wajibu, tofauti na hapo atakayejibu mwingine atakula 🔧🛠 za kutoshaccm hawawezi kushindwa kumjibu polepole,bali wameamua kumpuuza strategically
Political whore, if you ask me to describe Polepole in two words. Huyo Polepole ni popo tu. Awamu ya 5 ambayo yeye alikuwa kwenye top 5 ya maamuzi ya nchi chini ya Magufuli ilikandamiza demokrasia, uhuru wa maoni, utawala wa sheria na kisha ikaanzisha utekaji na uuaji wakosoaji. RAIS Samia amejitahidi kwa kiasi kikubwa kuyaondoa hayo machafu yaoHoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.
CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Jibu HojaWe bwege CCM unaichukuliaje? Kwl chama kubwa yenye hadhi ya kimataifa ijibu vioja vya mpumbavu moja aliyekimbia kazi na kuamua kuishi km nguchiro? Be serious man
hakuna msafi bro,si butiku si waryoba,hata huyo polepole ana usafi gani?Mtu msafi wa kumjibu ndio hayupo, labda chama kimuombe mzee Warioba au mzee Butiku wajibu, tofauti na hapo atakayejibu mwingine atakula 🔧🛠 za kutosha
Halafu polepole alivyokuwa mjanja kwenye kila hoja anayoitoa anaweka mfano na ushahidi ili watu vilaza na machawa wasikurupuke kuja kumsumbua.Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.
CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Tutumie busara bora kabisa ya Quran tukufu. Nguruwe ni haramu lakini ikikukuta dharura ya kuokoa maisha yako, unaweza kula.Political whore, if you ask me to describe Polepole in two words. Huyo Polepole ni popo tu.
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.