Ni dhahiri kuwa CCM haiwezi kuzijibu hoja za Humphrey Polepole

Wwnajipanga ipo siku watamjibu tu
 
Haezi jibiwa huyo mpuuzi..ajibiwe yy kma nani?
Muache aendelee na series zake cjui season ya ngapi 😃
 
Haezi jibiwa huyo mpuuzi..ajibiwe yy kma nani?
Muache aendelee na series zake cjui season ya ngapi 😃
Soma uelewe kilichoandikwa... Tunajua CCM ni wabobevu kwenye siasa za uchekeshaji lakini wakati mwingine jiheshimisheni kwa kujadili hoja kwa hoja na siyo kuleta viroja!
 
Leo eti wanamuona mzalendo 🤣 watu wajinga xnaa jmn
 
Waliobaki ccm ni ccm maslahi
 
Leo eti wanamuona mzalendo 🤣 watu wajinga xnaa jmn
Kwani uzalendo ni nini? Maana inawezekana hata hujui maana ya Uzalendo.
Kwa Sasa Polepole ukimlinganisha na wana CCM wengine, yeye ni mzalendo!
 
Demokrasia ipi ambayo Samia ameirejesha..!??
Utekaji na mauaji yapi yaliyoondolewa ktk utawala huu..!??

Punguza kunywa visungura mkuu, ni hatari kwa afya yako
 
Kwani uzalendo ni nini? Maana inawezekana hata hujui maana ya Uzalendo.
Kwa Sasa Polepole ukimlinganisha na wana CCM wengine, yeye ni mzalendo!
Umesahau msemo wa kimombo
Once a thief's is always a thief's
Once a liar is always a liar.
 
Hata hoja za Lissu, hata za chadema,hata zangu hawawezi kujibu maana huwa hawasimamii kweli ili kujirundikia mali na vyeo isivyo halali
 
Hoja za kitoto sana. Chama cha Mapinduzi hakiwezi kujibu. Hakuna hoja hapo zaidi ya kuwa Humphrey Polepole bado hajapona kutoka kwenye kifo cha Magufuli. Anatakiwa akubali hali halisi kuwa yeye alikuwa kwenye mfumo sasa katemwa na mfumo. Atulie asubiri awamu nyingine. Yeye alipata taarifa ya njama za kuuawa Magufuli hakuchukua hatua. Wakati ule kwa namna Magufuli alikuwa anaendesha nchi ilikuwa lazima awe hatarini. Wao kama wasaidizi wake walitakiwa pamoja na mambo mengine wajadili swala la usalama wake. Alitakiwa kujifunza kwa akina Kagame, Museveni, Putin, na marais wengine walio dumu madarakani muda mrefu na kujikinga na majaribio mbalimbali ya mauaji. Magufuli hakuwa jasusi ndo maana naamini kwa maelezo ya Polepole walifanikiwa kumuua. So aache nchi iende. Yeye hana uwezo wa kuzuia Rais Samia kuchukua form sababu anazo toa ni za kitoto sana. Aache wehu apumzike. Yeye kuwa nje ya mfumo alitakiwa aendelee kuwa mpole aache ukorofi. Wangemwita tu. HUMPHREY ni genius na Ana uwezo mkubwa. Humphrey ni jasusi bado angeutumika tu. So kuwa na kamdomo kwa nchi yetu hii kutamfanya akae sana pembeni kwasababu hata aminika. Anaweza geuka anytime na kuharibu taswira ya nchi. Mim nimshauri anyamaze ajifiche huko aliko apumzike. Atafutiwe wadau aende akamwombe msamaha mama. Atulie. Nchi hii itatembea tu hata tukiweeka Jiwe.
 
Vitendo pia ni majibu au ulitaka wapayuke🥳
Unaambiwa umedokoa nyama wewe majibu yako ni kusema kuwa mvua inanyesha.

Yeye anasema Katiba imevunjwa, nyie kuchukua fomu "kimabavu" ndiyo mnaona mmejibu hoja yake?
 
Samia kashuka kutoka mbinguni? Mdude Nyagali, Shoka.

Hii ni kama kusema nguruwe haram ila mchuzi halal, huyo jpm na samia chungu kimoja ccm na walikuwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…