Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 958
Samia ameondoa utekaji na mauaji ?achilia mbali tu kuyakemeaPolitical whore, if you ask me to describe Polepole in two words. Huyo Polepole ni popo tu. Awamu ya 5 ambayo yeye alikuwa kwenye top 5 ya maamuzi ya nchi chini ya Magufuli ilikandamiza demokrasia, uhuru wa maoni, utawala wa sheria na kisha ikaanzisha utekaji na uuaji wakosoaji. RAIS Samia amejitahidi kwa kiasi kikubwa kuyaondoa hayo machafu yao
Labda ulikuwa huishi Tanzania, unasimuliwa tu kuhusu Magufuli. Samia amerekebisha uchafu wa Magufuli ila hajamaliza wote.Samia kashuka kutoka mbinguni? Mdude Nyagali, Shoka.
Hii ni kama kusema nguruwe haram ila mchuzi halal, huyo jpm na samia chungu kimoja ccm na walikuwa pamoja
Sawa chawa ila kama anasafisha na kuwapoteza hakina mdude sirmia yupo vizuriLabda ulikuwa huishi Tanzania, unasimuliwa tu kuhusu Magufuli. Samia amerekebisha uchafu wa Magufuli ila hajamaliza wote.
CCM wajibu ili wampe mileage?? Mtu mwenyewe yuko wapi? Mzee si mzee na kwenye ujana hayupo. Hana familia wala mtoto, anaishi kama popo. Wa kazi gani?Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi na ujuzi kwenye nyanja tofautitofauti.
CCM kwa Hali ilivyo na jinsi Polepole anavyojenga hoja zake, mpaka uchaguzi upite, itakuwa "imeshinda" lakini itabaki na jeraha kubwa litakaloacha kovu kwenye haiba ya chama chenyewe.
Yaani Polepole apate Milage kwa kujibiwa na CCM? CCM Ina hadhi Gani kubwa kwa Sasa hadi impe Polepole hiyo Milage?CCM wajibu ili wampe mileage??
Jibu hoja mwenzio jana kaichambua katiba ya chama chenu na vifungu kwa ushahidi, vipi wewe hivi unaijua hata historia ya maboresho ya katiba ya chama chako?We bwege CCM unaichukuliaje? Kwl chama kubwa yenye hadhi ya kimataifa ijibu vioja vya mpumbavu moja aliyekimbia kazi na kuamua kuishi km nguchiro? Be serious man
Sasa Mdude wa kazi gani? Alitekwa Mar 2 wakati wa Magufuli na kisha kufunguliwa mashataka ya kubambikiza. Samia alipokuja akasema kesi za kubambikizwa zifutwe. Mdude akaachiliwa. Lakini first week akaanza kumtukana Samia kwenye majukwaa.Sawa chawa ila kama anasafisha na kuwapoteza hakina mdude sirmia yupo vizuri
Polepole kwanza ana hadhi gani? Jibu kwanza wewe hiloYaani Polepole apate Milage kwa kujibiwa na CCM? CCM Ina hadhi Gani kubwa kwa Sasa hadi impe Polepole hiyo Milage?