Umaskini ni chanzo cha UCHAWI.Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Acha utani basi, yaani mtu kutoka liwale Lindi aingie serikalini kwenda kuwatoa hao cartels? Ikiwa raisi na viongozi wote wakubwa wanashirikiana nao?Kuingia kwenye mfumo,namanisha
Mnabanana huko huko ikiwezekana
Ukiwa huko unawatoa
Ova
Mjinga kama wewe kwa nini uchangia mada za wenye akili.ILIYOPO INAKUNYIMA NINI? INATATIZO GANI MPAKA UMEKUWA UMRI HUO SI UNGEKUWA UMESHAKUFA?
Kupinga ufisadi sio umasikiniUmaskini ni chanzo cha UCHAWI.
Yanapakuwa kwa makoleoSahivi mafisadi yanapakua hayali tena
Ushawahi kuona mtu kutoka familia duni badaye anakuwa tajiriAcha utani basi, yaani mtu kutoka liwale Lindi aingie serikalini kwenda kuwatoa hao cartels? Ikiwa raisi na viongozi wote wakubwa wanashirikiana nao?
Kuna documentary ilikua inaeleza ni wapi nchi za America ya kusini na Africa zimefeli kulinganisha na nchi za ulaya, baadhi Asia na North America.
Sababu kubwa ni nchi za America ya kusini na Africa serikali zipo mikononi mwa cartels.
Europe au US tunapokimbilia kila siku na kuwapenda kwa vitu vingi wamefanikiwa kudhibiti cartels kuendesha serikali na uchumi wa nchi.
Huko hata uwe bilionea kiasi gani ukicheza na pesa ya serikali inakula kwako.
We huoni mtu Kama Messi au Ronaldo walijaribu kukwepa tu Kodi kule Spain, wakapelekwa mahakamani. Ingekua bongo watu Kama nyie mngesema serikali inawaonea wivu
Hawezi kukuelewa ni mpuuzi asiyejitambua.Jizi lazima lichukiwe!
Huwezi kumdhamini Rais wa nchi kienyeji enyeji lazima kuna nia ovu iliyojificha!
Katoa wapi hela za kumfadhili mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa majeshi ya nchi?
Katoa wapi hizo hela!?
Let us see the papers!
We bwege mbona unamaliza bando kuchangia mambo makubwa? Haya tuachie wenye uelewa mkubwa.Ushawahi kuona mtu kutoka familia duni badaye anakuwa tajiri
Ushawahi ona mtoto yatima huko mbeleni anakuwa bilionea
Haya si yanatokeaga
Ova
Mapato yetu kama Nchi Kwa mwezi yanatosha kulipia bills na mishahara ya watumishi baas, habari ya maendeleo lazima wakope au kuwapigia magoti wakubwa. KATIBA mpya yaeza tatua hili, tujadili njia Bora za kutumia vitegauchumi na raslimali zetu kujitegemea.Acha utani basi, yaani mtu kutoka liwale Lindi aingie serikalini kwenda kuwatoa hao cartels? Ikiwa raisi na viongozi wote wakubwa wanashirikiana nao?
Kuna documentary ilikua inaeleza ni wapi nchi za America ya kusini na Africa zimefeli kulinganisha na nchi za ulaya, baadhi Asia na North America.
Sababu kubwa ni nchi za America ya kusini na Africa serikali zipo mikononi mwa cartels.
Europe au US tunapokimbilia kila siku na kuwapenda kwa vitu vingi wamefanikiwa kudhibiti cartels kuendesha serikali na uchumi wa nchi.
Huko hata uwe bilionea kiasi gani ukicheza na pesa ya serikali inakula kwako.
We huoni mtu Kama Messi au Ronaldo walijaribu kukwepa tu Kodi kule Spain, wakapelekwa mahakamani. Ingekua bongo watu Kama nyie mngesema serikali inawaonea wivu
State wanachelewa Sana!2023 ni mbali Sana!!tunakamuliwa MNO!!!hii Sio SAWA kabisa haileti afya ya ustawi!!NGOJA Tuone!!Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
Tafuta pesa,connection Acha kulialiaWe bwege mbona unamaliza bando kuchangia mambo makubwa? Haya tuachie wenye uelewa mkubwa.
Zipi?Tafuta pesa,connection Acha kulialia
Ova
Mkuu ni ww kweli unaandika haya?Ushawahi kuona mtu kutoka familia duni badaye anakuwa tajiri
Ushawahi ona mtoto yatima huko mbeleni anakuwa bilionea
Haya si yanatokeaga
Ova
Njoo Zanzibar Yakhe, takupa Haluwa na tende. Mafuta ya nazi yatakupa ladha tofauti yakhe, utachapwa nao taratiiiiiibu.Zipi?
Kuna sehemu moja nilikuta watu wanalalamika kuhusu report ya CAG wengine wanakubaliana nayo wengine wanakataa, lakini mwisho nikajua hii nchi tayari ilishakua failed state. Kila mtu afe na chakeTafuta pesa,connection Acha kulialia
Ova
Ndiyo manakeKuna sehemu moja nilikuta watu wanalalamika kuhusu report ya CAG wengine wanakubaliana nayo wengine wanakataa, lakini mwisho nikajua hii nchi tayari ilishakua failed state. Kila mtu afe na chake
Mtu anakataa report ya CAG, na utetezi wake ni Kama huo wako kuwa watu watafute connection nao wapige[emoji1787]
Sasa sijui hata maana ya kuwa na serikali ni nn
Kuna sehemu moja nilikuta watu wanalalamika kuhusu report ya CAG wengine wanakubaliana nayo wengine wanakataa, lakini mwisho nikajua hii nchi tayari ilishakua failed state. Kila mtu afe na chake
Mtu anakataa report ya CAG, na utetezi wake ni Kama huo wako kuwa watu watafute connection nao wapige[emoji1787]
Sasa sijui hata maana ya kuwa na serikali ni nn
Sawa kabisaNdiyo manake
Ndomana unaona hata jamaa zetu Road huko wanakaba zile za kubrush viatu
Ova