Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Kuingia kwenye mfumo,namanisha

Mnabanana huko huko ikiwezekana

Ukiwa huko unawatoa

Ova
Acha utani basi, yaani mtu kutoka liwale Lindi aingie serikalini kwenda kuwatoa hao cartels? Ikiwa raisi na viongozi wote wakubwa wanashirikiana nao?

Kuna documentary ilikua inaeleza ni wapi nchi za America ya kusini na Africa zimefeli kulinganisha na nchi za ulaya, baadhi Asia na North America.
Sababu kubwa ni nchi za America ya kusini na Africa serikali zipo mikononi mwa cartels.

Europe au US tunapokimbilia kila siku na kuwapenda kwa vitu vingi wamefanikiwa kudhibiti cartels kuendesha serikali na uchumi wa nchi.

Huko hata uwe bilionea kiasi gani ukicheza na pesa ya serikali inakula kwako.

We huoni mtu Kama Messi au Ronaldo walijaribu kukwepa tu Kodi kule Spain, wakapelekwa mahakamani. Ingekua bongo watu Kama nyie mngesema serikali inawaonea wivu
 
Ushawahi kuona mtu kutoka familia duni badaye anakuwa tajiri

Ushawahi ona mtoto yatima huko mbeleni anakuwa bilionea

Haya si yanatokeaga

Ova
 
Jizi lazima lichukiwe!

Huwezi kumdhamini Rais wa nchi kienyeji enyeji lazima kuna nia ovu iliyojificha!

Katoa wapi hela za kumfadhili mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa majeshi ya nchi?

Katoa wapi hizo hela!?

Let us see the papers!
Hawezi kukuelewa ni mpuuzi asiyejitambua.
 
Ushawahi kuona mtu kutoka familia duni badaye anakuwa tajiri

Ushawahi ona mtoto yatima huko mbeleni anakuwa bilionea

Haya si yanatokeaga

Ova
We bwege mbona unamaliza bando kuchangia mambo makubwa? Haya tuachie wenye uelewa mkubwa.
 
Acha utani basi, yaani mtu kutoka liwale Lindi aingie serikalini kwenda kuwatoa hao cartels? Ikiwa raisi na viongozi wote wakubwa wanashirikiana nao?

Kuna documentary ilikua inaeleza ni wapi nchi za America ya kusini na Africa zimefeli kulinganisha na nchi za ulaya, baadhi Asia na North America.
Sababu kubwa ni nchi za America ya kusini na Africa serikali zipo mikononi mwa cartels.

Europe au US tunapokimbilia kila siku na kuwapenda kwa vitu vingi wamefanikiwa kudhibiti cartels kuendesha serikali na uchumi wa nchi.

Huko hata uwe bilionea kiasi gani ukicheza na pesa ya serikali inakula kwako.

We huoni mtu Kama Messi au Ronaldo walijaribu kukwepa tu Kodi kule Spain, wakapelekwa mahakamani. Ingekua bongo watu Kama nyie mngesema serikali inawaonea wivu
Mapato yetu kama Nchi Kwa mwezi yanatosha kulipia bills na mishahara ya watumishi baas, habari ya maendeleo lazima wakope au kuwapigia magoti wakubwa. KATIBA mpya yaeza tatua hili, tujadili njia Bora za kutumia vitegauchumi na raslimali zetu kujitegemea.
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

State wanachelewa Sana!2023 ni mbali Sana!!tunakamuliwa MNO!!!hii Sio SAWA kabisa haileti afya ya ustawi!!NGOJA Tuone!!
 
Ushawahi kuona mtu kutoka familia duni badaye anakuwa tajiri

Ushawahi ona mtoto yatima huko mbeleni anakuwa bilionea

Haya si yanatokeaga

Ova
Mkuu ni ww kweli unaandika haya?

Tunaposema Tanzania ni nchi maskini, Ina maana watu wote Tanzania ni maskini?

Hapa issue ni population kubwa inaangukia wapi, hao unaosema walikua maskini wakawa matajiri ni percent ngapi ya watanzania au ni percent ngapi ya matajiri hawa wachache waliopo? Wenzetu wamekua na maisha mazuri na uchumi mkubwa si sababu ya mapambano ya mmoja mmoja bali sera nzuri za serikali zao.

Lengo la kuwa na serikali ndio hilo, tulisema kila mtu ajipiganie basi hakuna haja ya kuwa na serikali
 
Tafuta pesa,connection Acha kulialia

Ova
Kuna sehemu moja nilikuta watu wanalalamika kuhusu report ya CAG wengine wanakubaliana nayo wengine wanakataa, lakini mwisho nikajua hii nchi tayari ilishakua failed state. Kila mtu afe na chake

Mtu anakataa report ya CAG, na utetezi wake ni Kama huo wako kuwa watu watafute connection nao wapige[emoji1787]
Sasa sijui hata maana ya kuwa na serikali ni nn
 
Ndiyo manake

Ndomana unaona hata jamaa zetu Road huko wanakaba zile za kubrush viatu

Ova
 
Mambo ya vimemo kupitisha macontena yataanza
 
Kuna sehemu moja nilikuta watu wanalalamika kuhusu report ya CAG wengine wanakubaliana nayo wengine wanakataa, lakini mwisho nikajua hii nchi tayari ilishakua failed state. Kila mtu afe na chake

Mtu anakataa report ya CAG, na utetezi wake ni Kama huo wako kuwa watu watafute connection nao wapige[emoji1787]
Sasa sijui hata maana ya kuwa na serikali ni nn

Hata Mimi nikipata nafasi ya kuzitafuna siziachi maana ni upumbavu sasa unalipaje kodi zikaliwe juu kisha no action.Failure state
 
Back
Top Bottom