Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Serikali inapoonea aibu wezi wa kodi zetu na kushindwa kuwachukulia hatua ni kielelezo hata aliyeshika usukani si muadilifu. Mtu muadilifu unyimwa usingizi na ufisadi maana inavunja moyo wa ulipaji kodi.
 
TUTAANZA KUTAFUNWA KAMA MBWA MWITU ANAVYOTAFUNA MNYAMA MZIMA MZIMA?
 
Acha mtafunwe tuu
Mliwe mara ngapi? Liweni tuu..

Wewe ni nani umkwepe Rostam? 👇



 
Kama namwona vile Rostam anavyonyanyua simu yake na kumwamtisha hangaya kuhusu jambo flani
 
Kulialia tu kulialia tu oh tumeibiwa oh nyanganyaga
Oh tumeibiwa,yeye ashafanya hustle gani zaidi ya kulialia
Naichukia mijitu kutwa kulalamikaaa tu,

Ova
Ukiona waibiwa iba na wewe uone kama ni rahisi
Watz tumelemazwa kwa kuitwa wanyonge
 
Jizi lazima lichukiwe!

Huwezi kumdhamini Rais wa nchi kienyeji enyeji lazima kuna nia ovu iliyojificha!

Katoa wapi hela za kumfadhili mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa majeshi ya nchi?

Katoa wapi hizo hela!?

Let us see the papers!
Tafuta hela
 
Serikali inapoonea aibu wezi wa kodi zetu na kushindwa kuwachukulia hatua ni kielelezo hata aliyeshika usukani si muadilifu. Mtu muadilifu unyimwa usingizi na ufisadi maana inavunja moyo wa ulipaji kodi.
Kwamba we unalipa kodi kuliko Caspian au Axian au Mirambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…