Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUTAANZA KUTAFUNWA KAMA MBWA MWITU ANAVYOTAFUNA MNYAMA MZIMA MZIMA?Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
Acha mtafunwe tuuNi wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
Mliwe mara ngapi? Liweni tuu..Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
We unazo?Tafuta pesa,connection Acha kulialia
Ova
Tafuta hela nduguTumetafunwa sana kabla ya Samia....Acha hizo.
Huna akili na elimuNdiyo manake
Ndomana unaona hata jamaa zetu Road huko wanakaba zile za kubrush viatu
Ova
Tafuta helaSahivi mafisadi yanapakua hayali tena
Ukiona waibiwa iba na wewe uone kama ni rahisiKulialia tu kulialia tu oh tumeibiwa oh nyanganyaga
Oh tumeibiwa,yeye ashafanya hustle gani zaidi ya kulialia
Naichukia mijitu kutwa kulalamikaaa tu,
Ova
Tafuta helaJizi lazima lichukiwe!
Huwezi kumdhamini Rais wa nchi kienyeji enyeji lazima kuna nia ovu iliyojificha!
Katoa wapi hela za kumfadhili mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa majeshi ya nchi?
Katoa wapi hizo hela!?
Let us see the papers!
Unateseka kutokea wapi?Issue ni kuwa Rostam anatia sahihi hapo kama mtendaji yupi wa serikali? Kama deal binafsi, Rais na hizo bendera za nini?
View attachment 2204832
Mbona una hasira sanaWe unazo?
We unazo? Au kijimwambafy wakati fala.Tafuta hela
Huna hela unakarii mambo ya kishamba.Mbona una hasira sana
Tafuta hela ili chuki ya mafanikio ikuisheTUTAANZA KUTAFUNWA KAMA MBWA MWITU ANAVYOTAFUNA MNYAMA MZIMA MZIMA?
Kwamba we unalipa kodi kuliko Caspian au Axian au Mirambo?Serikali inapoonea aibu wezi wa kodi zetu na kushindwa kuwachukulia hatua ni kielelezo hata aliyeshika usukani si muadilifu. Mtu muadilifu unyimwa usingizi na ufisadi maana inavunja moyo wa ulipaji kodi.
KufaaaaSawa kabisa
Taifa la majuha hili, na hata hili bara la Africa limelaaniwa
We naye kapitishe vimemooMambo ya vimemo kupitisha macontena yataanza
Hajalalamika anazungumzia ishu ambayo ipo wazi.Mtu miaka nenda rudi anaishia kulalamika tuuuuuu
Hahaha
Ova