Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Acha uongo kufagilia ufisadi ili uonekane mjuaji wakati fala tu.
 
Hapo Rostam alikuwa ana saini kama nani ? Au mwakilishi wa Tz ?
Pascal Mayalla Mzee Mwanakijiji
joka kuu
Nguruvi3
 
Ukitaka kufanya mambo bila ya wadau ni lazima utakwama shirikisha wadau mambo yaende mbele (mbere, satu kutoka chato).
 
Kwani bil11 ni kitu gani hadi Serikali isiweze kugharamia hiyo project hadi iombe msaada kama kweli ipo objective na sio subjective????
 
Kwa watanzania tulivyo mtawala yeyote kushindwa kupiga sio rahisi, itakuwa ni huruma yake tu.Ila ingekuwa nchi kama Blazir, Pakstan nk hapakaliki.
 


Raisi angetumia pesa ya serikali ingekuwa lawama na kachangisha kwa uwazi nayo ni shida ulitaka gharama zitoke wapi! kwa sirisiri au
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam wewe unaanza kumchukia.
Umaskini unaenda sambamba na utajiri wa ujinga, roho mbaya, chuki, umbea, wivu, uchawa na uchawi.
Kwingineko Watu kama Rostams wenye uwezo wa kuingia mega deals ni lulu... wanalindwa kwa manufaa ya taifa!
Watanzania wengi wanataka wote walingane wasiwepo wabunifu na wawekezaji wakubwa!

Ajabu hata uelewa, ubunifu au vidole havilingani!
Alitokea tapeli mmoja akawatapeli sana kwa kisingizio cha unyonge wao lakini bado hawajazinduka!
 
Kwani bil11 ni kitu gani hadi Serikali isiweze kugharamia hiyo project hadi iombe msaada kama kweli ipo objective na sio subjective????


Hapo ndipo tatizo lilipoanzia kwanini jambo la kitaifa lichangiwe pesa na kufanikishwa na watu binafsi? RA kaingia mkataba kama mfanya biashara binafsi je mama aliyeshuhudia ni mdau wa biashara hiyo au ni dhamana ya huo mkataba? Mr Koka naye ni mbunge wa Kibaha naye katuingiza kwenye mkataba ambao mpaka sasa sijajua ni wa kibiashara binafsi au ni mkataba wa inchi ambao kiutaratibu Waziri ndio alitakiwa asaini? hivi mbunge wetu anaruhusiwa kuingia mkataba kwa niaba ya serikali ya Tanzania?
 
Hivi kwa Nini mnafukilia kukamuliwa tu?
Kwani nyinyi mmeshajiona hamna akiri kabisa. Badili ya kufikiria ushindani nyie mnafikilia kukamuliwa tu.

Ndo Mana wahindi wanakujaga hapa hawana hata thumni lakini baada ya mda mchache wanakuwa matajili nyie mnafikilia kukamuliwa tu Kama mazuzu.

Dunia ya leo ni ushindani. Zile siasa ambazo jpm alitaka kuzileta hazipo duniani.

Sijui ni elimu duni au uafrica ni laana.
 
Haya sio malalamiko labda kama hujui kusoma na kuandika
Unalalamika sana, sukuma gang mnatia aibu sana. Badala upambane kufikia level kama za RA wewe umekazana na kutunza legacy uchwara. Pole anyway ndiyo maisha. Mwisho mkao wa kutafunwa kaa wewe itatosha
 
ILIYOPO INAKUNYIMA NINI? INATATIZO GANI MPAKA UMEKUWA UMRI HUO SI UNGEKUWA UMESHAKUFA?
Huna akili wewe, ndiyo maana unaandika kwa herufi kubwa. Utakuwa sukuma gang siyo bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…