inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mkuu umenyoa mavvuzzzi!?Anza kudai katiba mpya🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenyoa mavvuzzzi!?Anza kudai katiba mpya🐒🐒🐒
Acha uongo kufagilia ufisadi ili uonekane mjuaji wakati fala tu.Wenye roho za kishetani kama akina Nyankurungu2020 wataelewa basi?
Miaka ya 1990 nilikuwa nafanya Biashara ya kuuza ngozi na mnunuzi mkubwa alikuwa ni Rostam Aziz. Tulikuwa tukipeleka ngozi, wasaidizi wake (ngozi nyeusi) wanatupiga cha juu kwa kupunguza uzito au kuchelewesha malipo hadi utoe chochote.
Basi ukitaka Rostam Aziz awe mbogo, basi akute mtu anadhulumiwa au anazungushwa kwa namna yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kupigwa .Mkuu umenyoa mavvuzzzi!?
Hapo Rostam alikuwa ana saini kama nani ? Au mwakilishi wa Tz ?Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
kuna ufisadi gani?Nyie ndo mnapromote wezi
Ukitaka kufanya mambo bila ya wadau ni lazima utakwama shirikisha wadau mambo yaende mbele (mbere, satu kutoka chato).Mkuu; yaani nchi hii kati ya watu ambao huwa ninawaona ni wazalendo kabisa ni pamoja na huyu mtu. Halafu sasa yuko smart na mstaarabu sana. Akiona mnamletea za kuleta, anatoweka au anakaa pembeni. RA mimi huwa namuona kati ya watu muhimu sana kwenye nchi hii; sawa tu kama alivyokuwa Hayati R. Mengi.
Huyu mtu amerudi kufanya kazi naomba sana watu sasa wasimbugudhi tena; wamwache afanye kazi.
Sio kila mtu anawaza hela..Tafuta hela ndugu
Nimesoma hii comments mara dufu.Uzinduzi wa kiwanda chake cha Morogoro ndicho kitovu cha kuwa na Rais wa bila kuchaguliwa na Wananchi.
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
Mimi ni mlipa kodi.Unateseka kutokea wapi?
Umaskini unaenda sambamba na utajiri wa ujinga, roho mbaya, chuki, umbea, wivu, uchawa na uchawi.Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam wewe unaanza kumchukia.
Kwani bil11 ni kitu gani hadi Serikali isiweze kugharamia hiyo project hadi iombe msaada kama kweli ipo objective na sio subjective????
Hamchukii anawahabarisha na wewe unayempenda tuhabarisheUmasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam wewe unaanza kumchukia.
Level ya ufisadi na umafia?Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam wewe unaanza kumchukia.
Hivi kwa Nini mnafukilia kukamuliwa tu?Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
Unalalamika sana, sukuma gang mnatia aibu sana. Badala upambane kufikia level kama za RA wewe umekazana na kutunza legacy uchwara. Pole anyway ndiyo maisha. Mwisho mkao wa kutafunwa kaa wewe itatoshaHaya sio malalamiko labda kama hujui kusoma na kuandika
Huna akili wewe, ndiyo maana unaandika kwa herufi kubwa. Utakuwa sukuma gang siyo bureILIYOPO INAKUNYIMA NINI? INATATIZO GANI MPAKA UMEKUWA UMRI HUO SI UNGEKUWA UMESHAKUFA?