Nakala walibaki nazo tume wenyewe wakati ilitakiwa kila wakala apewe nakala ya matokeo hivyo basi sio jambo la kuomba lilipaswa kufanyika kipindi cha uchaguziUkitaka kufungua kesi unanyimwa nakala?
Mbona hatukushudia hayo? Tulishudia watu wakiangalia majina yao na kisha kupiga kura.Haahaa ukweli gani mkuu? Nani kamanda? Wako wasimamizi waligeuka watiki vibuti kwenye vituo vya kumpigia kura badala ya kuwaongoza wapiga kura kupiga kura.uchafu uliofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu hata shetani alitushangaa
Acha kupost utoto,kila ngazi ya kituo mpaka jimbo,kila wakala anatakiwa abaki na nakala. Ndio maana tunashangaaa kusema kuna wizi. Any way ndio maana mmeamua kufanya uhuni kwa wananchi.Nakala walibaki nazo tume wenyewe wakati ilitakiwa kila wakala apewe nakala ya matokeo hivyo basi sio jambo la kuomba lilipaswa kufanyika kipindi cha uchaguzi
Je what if respondents wakaweka pingamizi hizo nakala zinazoombwa tume au what if Tume wakakataa kutoa nakala?
Suala la mahakama zetu kutokuwa huru lipo wazi na kila mtu analijua hilo.Magufuli ameziweka mahakama zetu mfukoni.Umebakiza kisingizio kisicho na mashiko.
Wewe ndio mtoto sasa, hufuatilii mwaka huu 2020 kanuni za uchaguzi zilifanyiwa marekebisho zikasema kwamba kupewa nakala ya matokeo sio lazima yaani msimamizi wa uchaguzi ana hiyari ya kukupa wakati zamani( kanuni za zamani) ilikuwa ni lazima kwa msimamizi wa uchaguzi kutoa nakala kwa mawakala wa vyama.Acha kupost utoto,kila ngazi ya kituo mpaka jimbo,kila wakala anatakiwa abaki na nakala. Ndio maana tunashangaaa kusema kuna wizi. Any way ndio maana mmeamua kufanya uhuni kwa wananchi.
Kwani unajua procedure za kutoa haki?Yaani ushahidi uwe wazi kabisa bado unanyimwa haki?
Walioshiriki katika kuiba kura na kuchafua uchaguzi ni hao vyombo vya dola.Huwezi kumkamata msaidizi wa wizi wa kura halafu umpeleke kwa boss wake kisha upate hakiYaani ushahidi uwe wazi kabisa bado unanyimwa haki?
Ana hiari ya kukupa? Anaweza akupe au asikupe?Wewe ndio mtoto sasa, hufuatilii mwaka huu 2020 kanuni za uchaguzi zilifanyiwa marekebisho zikasema kwamba kupewa nakala ya matokeo sio lazima yaani msimamizi wa uchaguzi ana hiyari ya kukupa wakati zamani( kanuni za zamani) ilikuwa ni lazima kwa msimamizi wa uchaguzi kutoa nakala kwa mawakala wa vyama.
Haahaa kwako uchaguzi kuwa huru na haki ni watu kupiga kura eeh.wewe kwa akili yako ulikuwa unashuhudia kila kinachofanyika ndani ya kituo eehMbona hatukushudia hayo? Tulishudia watu wakiangalia majina yao na kisha kupiga kura.
NdioAna hiari ya kukupa? Anaweza akupe au asikupe?
Tatizo husomi wenzako tumezisoma hizo kanuniSina hakika wala wewe huna hakika,unazungumza kishabiki.
Haahaa hao mawakala walikuwepo Sasa? Waliishia kuswagiwa huko polis, mle vituoni wasimamizi waligeuka kuwa wapiga debe wa ccm, yako maeneo kura za lissu zilipunguzwa kwa maagizo ya watendaji kata.hatariiiKamanda,ndio maana vyama vinaweka mawakala.
Ushahidi juu ya haya unayosema upo?Haahaa hao mawakala walikuwepo Sasa? Waliishia kuswagiwa huko polis, mle vituoni wasimamizi waligeuka kuwa wapiga debe wa ccm, yako maeneo kura za lissu zilipunguzwa kwa maagizo ya watendaji kata.hatariii