Uchaguzi 2020 Ni dhahiri kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, Watanzania tulishajifunza

Ukitaka kufungua kesi unanyimwa nakala?
Nakala walibaki nazo tume wenyewe wakati ilitakiwa kila wakala apewe nakala ya matokeo hivyo basi sio jambo la kuomba lilipaswa kufanyika kipindi cha uchaguzi
Je what if respondents wakaweka pingamizi hizo nakala zinazoombwa tume au what if Tume wakakataa kutoa nakala?
 
Haahaa ukweli gani mkuu? Nani kamanda? Wako wasimamizi waligeuka watiki vibuti kwenye vituo vya kumpigia kura badala ya kuwaongoza wapiga kura kupiga kura.uchafu uliofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu hata shetani alitushangaa
Mbona hatukushudia hayo? Tulishudia watu wakiangalia majina yao na kisha kupiga kura.
 
Nakala walibaki nazo tume wenyewe wakati ilitakiwa kila wakala apewe nakala ya matokeo hivyo basi sio jambo la kuomba lilipaswa kufanyika kipindi cha uchaguzi
Je what if respondents wakaweka pingamizi hizo nakala zinazoombwa tume au what if Tume wakakataa kutoa nakala?
Acha kupost utoto,kila ngazi ya kituo mpaka jimbo,kila wakala anatakiwa abaki na nakala. Ndio maana tunashangaaa kusema kuna wizi. Any way ndio maana mmeamua kufanya uhuni kwa wananchi.
 
Wewe ndio mtoto sasa, hufuatilii mwaka huu 2020 kanuni za uchaguzi zilifanyiwa marekebisho zikasema kwamba kupewa nakala ya matokeo sio lazima yaani msimamizi wa uchaguzi ana hiyari ya kukupa wakati zamani( kanuni za zamani) ilikuwa ni lazima kwa msimamizi wa uchaguzi kutoa nakala kwa mawakala wa vyama.
 
Ana hiari ya kukupa? Anaweza akupe au asikupe?
 
Mbona hatukushudia hayo? Tulishudia watu wakiangalia majina yao na kisha kupiga kura.
Haahaa kwako uchaguzi kuwa huru na haki ni watu kupiga kura eeh.wewe kwa akili yako ulikuwa unashuhudia kila kinachofanyika ndani ya kituo eeh
 
Kamanda,ndio maana vyama vinaweka mawakala.
 
Haahaa hao mawakala walikuwepo Sasa? Waliishia kuswagiwa huko polis, mle vituoni wasimamizi waligeuka kuwa wapiga debe wa ccm, yako maeneo kura za lissu zilipunguzwa kwa maagizo ya watendaji kata.hatariii
 
Ushahidi juu ya haya unayosema upo?
 
Back
Top Bottom