kama mnataka katiba mpya basi museme ni nini mnataka kiwemo katika katiba mpya kuliko kudai katiba bila madai ya msingi... maana maudhi yake yako hivi. serikali itateua tena mtu wa kutafuta maoni ambaye atatumia mamilion ya ngawila kukusanya maoni ya watu. tena ataenda vijijini kuliko na darasa la saba wengi ambako hawajui hata nini maana ya madaraka ya raisi, uhuru wa mahakama uteuzi wa majaji na mawaziri kupitia dibeti ya bunge,kulinda didhaa zitengenenezwazo nchini, na raisi kutopata kinga ya kushitakiwa.. akimaliza kukusanya maoni utamsikia kuwa watu wengi wanadai serikali ya tanganyika. utakuta inaanza dibeti ya serikali ya Tanganyika au serikali tatu, mbili nk tuu na hakuna jipya litakiwalo katika katiba.