Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Habari za Leo.
Hakuna kitakachomfanya Lisu aendelee kubaki CHADEMA.
Lisu anagombea uenyekiti ili aisafishe CHADEMA Hasa kwenye Safu ya juu ya uongozi ambayo anaishutumu imechafuka kwa Rushwa na matendo ya kifisadi.
Ikitokea Lisu amepigwa chini. Na uongozi ule anaosema umechafuka kwa Rushwa ndio utakaokuwa unamuongoza yeye na Wanachadema wengine.
Lisu kama hapendi ufisadi na Rushwa na yeye anadai anaoushahidi usiotia Shaka kuwa Safu ya viongozi wenzake wa CHADEMA walioewa Rushwa na mtu Mmoja ajulikanaye kama Abdul, ikiwa ni moja ya Kesi Moja Kati ha nyingi anayowatuhumu wenzake. Hawezi kukubali kuongozwa na safu hiyo.
Ikiwa Lisu atakuwa Mwenyekiti itampasa kuwawajibisha anaowashutumu ili kuonyesha Uwajibikaji na mfano, lengo likiwa kuimarisha chama na kujenga imani kwa watu.
Akikosa, itampasa aidha ahame chama au apumzike Siasa. Ili kuonyesha alichokuwa anaongea alikuwa anamaanisha.
Ikiwa atabaki CHADEMA itaonekana alikuwa anafanya Siasa, na kuwasingizia wenzake ili yeye apate hiyo nafasi.
Kwa kifupi CHADEMA Mpaka Muda huu kimeshaanguka.
Wakuokoa chombo hiki alikuwa ni Mbowe kutokugombea. Lakini Kwa vile kagombea itampasa Mbowe akazane Sana ili asitie aibu.
Vyama vya upinzani vingine naona vishaiona hiyo fursa, naamini vimeshaanza kufanya mazungumzo na Tundu Lisu ili kuona kama watapata saini yake kwaajili ya usajili
Karibuni kwenye Mkesha,
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam