Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu akishindwa Uenyekiti hawezi kubaki CHADEMA. Akibaki naye atakuwa Walewale tu

Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu akishindwa Uenyekiti hawezi kubaki CHADEMA. Akibaki naye atakuwa Walewale tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akishindwa akaondoka, kwisha habari.
Haiwezi kuwa kwisha habari yake maana ile chadema iliyokuwa inatumika kuwachafua wanaohama chama tayari imeshagawanyika, upande Lisu upande Mbowe. Hata hapa JF nafikiri unaona mgawanyiko na wengi wapo upande wa Lisu.

So wachafuaji wachache wataobaki na Mbowe hawatoweza kumchafua Lisu mpaka kumshusha kama unavyofikiria.
 
Back
Top Bottom