Haiwezi kuwa kwisha habari yake maana ile chadema iliyokuwa inatumika kuwachafua wanaohama chama tayari imeshagawanyika, upande Lisu upande Mbowe. Hata hapa JF nafikiri unaona mgawanyiko na wengi wapo upande wa Lisu.
So wachafuaji wachache wataobaki na Mbowe hawatoweza kumchafua Lisu mpaka kumshusha kama unavyofikiria.